Recent content by Mjukuu Wa Kambo

  1. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Donald Trump Gun Scare

    Washampa maneno ya kuwaambia.. Subirini aamke...
  2. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Safi sana
  3. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, naomba utoe msamaha kwa ndugu George Paul

    Alijawapa kwenye Familia yenu ndio maana unajipa haki ya kukashifu kwani tatizobla Gearg hata wewe unaweza kulipata au zaidi ya hapo.. Kumbuka laana si toka Mungu hata Binadamu wanaweza kuku lani.. Futa kauli yako alaka kabla ya laana kukupata!
  4. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Taharuki Bagamoyo Road

    Isije kuwa kesha lewa
  5. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Taharuki Bagamoyo Road

    Kwa uwoga aliokuwa na mleta Uzi huo mda wa kukumbuka simu atakua nao kweli?
  6. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania KANUSHO la Mwonekano wa uwanja wa ndege terminal 3 JKNIA

    Tutamkumbuka sana Mzee wa Msoga maana nikumuona akiwa anakula kuku wake wa Bagamoyo huwa nabaki na furaha kwa kweli ametuwezesha mnyonge mnyongeni... Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu na yenye furaha.. Amiini Yarabil alamin...
  7. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Atiwa mbaroni kwa kushangilia mauaji ya polisi Mbande

    Na sio kuwapa nguvu tuu bali kujipalilia makaa wenyewe.. Utawasikia tulitoa taarifa wamechelewa kuja...
  8. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Dr. Helen Kijo Bisimba kamjia juu mkuu wa mkoa wa Dar kwa matamshi yake

    Kumbuka hao wote wanaobeza hizi kauli wamelelewa na shetani..
  9. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Atiwa mbaroni kwa kushangilia mauaji ya polisi Mbande

    Utashingiliaje ya mwenzio na wewe yakikufika watu watakushangilia... Utamaduni wa kushangilia mtu alifikwa na mauti mmeutoa wapi jamani Tumuogope Mungu... Na nyie mshangilieni mwenzenu
  10. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    Yeye atulie tuu..
  11. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Dar: Kijana apanda juu ya daraja Ubungo na kutaka kuonana na Mkuu wa Mkoa la sivyo atajiua

    Matokeo yalikuaje kwa huyo R.I.P anaejitakai
  12. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

    Yaani nusu mzima nusu unajitia wazimu Tobinho Babu Assalam Mualaykum Babu wa Kambo na Aman iwe juu yako Babu wa Loliondo hata nawe BABU WA SHY
  13. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

    Ahsante sana Zuleykha
  14. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Hapo tena Mwayangu mwayanngu mjukuu wa Bi Shomvi..
  15. Mjukuu Wa Kambo

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Wazaramo wakimtania wasimind...
Back
Top Bottom