mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Ndo wanaume wa dar hao wanatuabisha sanaMkuu wewe mume au mke kama Mme mbona muoga hivyo?
Ndo wanaume wa dar hao wanatuabisha sanaMkuu wewe mume au mke kama Mme mbona muoga hivyo?
Umejiandaaje na hatima ya uchochezi mtandaoni?, nauliza tu.Vinaelekea wapi au maghu anaenda ununio kule via bahari b . Usiniulize anafata nini .
aiseee yani hii ni kauli ya mwenye familia. hivi hata kinyoka utakaua kweli?siwezi kutoka nje Nina familia na inanihitaji sana. Kwa nilichokiona dirishani kinanitosha
Ushazoea huko mikoani mkisikia ving'ora ni vya TANAPA kuwaambia tembo wanaingia kwenye makazi ya watu and all you've to do ni kujifungia ndani; basi! Mjini ukisikia ving'ora unaiwaza mashine isiyokupa fursa ya kuisikia inapotaka kukurestisha in peace!!Ndo wanaume wa dar hao wanatuabisha sana
Yaani ving`ora mtu anajificha ndani?Wanaume Wa dar waoga
Hao ndio wanaume Wa dar moja ya maajabu ya dunia wanastahili kuishi makumbusho ya taifaYaani ving`ora mtu anajificha ndani?
Aiseee,kaaaazi kweli kweli,Panya road naona angeingia chini ya sufuria
Ha haa ha WANAUME WA DAR PWANIsiwezi kutoka nje Nina familia na inanihitaji sana. Kwa nilichokiona dirishani kinanitosha
Tueleze umeona nini?siwezi kutoka nje Nina familia na inanihitaji sana. Kwa nilichokiona dirishani kinanitosha
Punguza uoga huoNi ving'ora, magari yanakimbia, magari ya deraya yanapita kasi yakipiga kengele na kelele. Hali inatisha, tuko kwenye taharuki kubwa wakazi wa Mwenge
Woga na aibu ndio utu!Hahahah kweli naona unaogopa basi hebu twambie hivyo ving'ora ni vya gari gani :
Zimamoto
Ambulance
Police
Gari la pesa
Au baada ya kusikia ving'ora ukapost bila kujua ni ving'ora vya gari zipi kati ya hizo!
Loh! Ila pole sana sio kosa lako kuogopa (ukiona mtu anaogopa hata tukio la hivi ujue hawezi kuwa na confidence)
Nimeona maandishi ila sijakuelewaWoga na aibu nsio utu!
Usihofu tupo kazini mkuu!!pole kwa mshtuko!!Ni ving'ora, magari yanakimbia, magari ya deraya yanapita kasi yakipiga kengele na kelele. Hali inatisha, tuko kwenye taharuki kubwa wakazi wa Mwenge
sasa huko kwny barabara ya vumbi utaskia ving'ola wapi!!mbona nipo hapa nguruko sijaona wala kusikia?
Kwa uwoga aliokuwa na mleta Uzi huo mda wa kukumbuka simu atakua nao kweli?Rusha kavideo na kapicha huku mkuu.