Recent content by Mjukuu wa CHIRO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya rangi uzijuazo kwa Kiswahili

    Kiswahili ni lugha ya Kibantu, na lugha (nyingi) za Kibantu, kwa asili, zinaelekea kuwa na maneno matatu tu yanayoeleza dhana ya rangi: 1. Rangi nyeupe, 2. Rangi nyeusi, na 3. Rangi nyekundu. Kama unazungumza lugha mojawapo ya Kibantu, jaribu kutafuta majina ya rangi, na utakutana na maneno ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kutafsiri 'Humanism'

    Katika kufunuafunua kamusi, nimeona hivi: Humanism = elimu ya ubinadamu (inayohusu binadamu kwanza na mahitaji yake kuliko misingi ya dini). Sijui kama itakusaidia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria kudhibiti matumizi ya Loud speaker katika nyumba za ibada

    Pengine si kila kelele ni kelele.
  4. M

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    asante sana kwa nakala hii!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    asante kila mmoja kwa michango yote hii!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utumishi mnaita Interview watu 1045 kwa nafasi 5?

    Watu makini hawawezi kuita watu 1,000 kwa nafasi tano tu. Hata watu 100 tu bado wangekuwa ni wengi mno. Wengine wanajidanganya kwamba kwa kufanya hivyo wammtendea haki kila aliyeomba! ... Haki ipi imetendwa kama makaratasi yenyewe yameshahihishwa kwa kulipuliwa? ... Kwa mazingira yetu, kuna kitu...
Back
Top Bottom