Recent content by Mjomba kazola

  1. M

    Wasafi FM

    Habari zenu wakuu Naomba kujuzwa mahali ilipo WASAFI FM hapa dar, nackia ipo mbezi beach ila sijajua mbezi sehemu gani Nahitaji nipeleke ngoma yangu pale. Thanks
  2. M

    Blood tube holder

    Habari zenu ndugu zangu Naomba kuuliza kwa wale wazee wa maabala, Kuna hospitali moja nimetembelea nimekuta wanatumia hii blood tube holder kwa zaid ya mtu mmoja (reuse) yan wanachofanya ni kubadilisha tu ile sindano ya juu lkn holder ni ileile Sasa je nauliza kwa afya hii imekaaje hasa hasa...
  3. M

    Marufuku mume wangu kugusa matiti yangu

    Tatizo bado hujaolewa na nahisi huyo unaemuita mume sio mume wa ndoa labda ni hawala tu., Nadhani ukiolewa rasmi utaacha hayo mawazo yako ya kisichana na utaanza kuwaza kama MWANAMKE na sio kama MSICHANA tena
  4. M

    Kampuni ya DAIMA InfoTech solutioon ipo wapi?

    kwenye site yao hawajaonesha direction na hata namba za simu hamna. hata me mwenyewe nimeshangaa.
  5. M

    Kampuni ya DAIMA InfoTech solutioon ipo wapi?

    habari zenu wadau Naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu ilipo kampuni ya Daima InfoTech solution Naomba anielekeze ili niweze kufika nina shida nahitaji kuulizia pale. Nasikia ipo barabara ya bagamoyo road ila sijajua ni sehemu gani? Asanteni.
  6. M

    Hivi mtu ukisup chuo inakuaje kuhusu mkopo?

    ukiona mpaka nimeuliza huku ujue cjapata taalifa zilizo nilidhisha. na sababu kubwa ya kuuliza huku najua kua kuna watu mbali mbali ambao wengine yawezekana walishafanyag kaz kwenye wizara hyo. but thanks for ur responce
  7. M

    Hivi mtu ukisup chuo inakuaje kuhusu mkopo?

    habari zenu wadau naomba kuuliza kwa anayefahamu hiv mtu ukisup chuo inakuaje kuhusu mkopo wako je unaendelea kupata au la? na pia uki carry mkopo unapata au la?
  8. M

    PrEP na PEP

    Jaman hivi hizi dawa za PrEP = Pre Exposure Prophylaxis na PEP = Post Exposure Prophylaxis zinapatikana hapa tanzania? kwa anaejua naomba anielekeze zinapatikana wapi. nna hitaji tu kujua haimaanishi kwamba ni HIV exposure
  9. M

    Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

    zile nackia ni wine za kike?
  10. M

    Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

    poa poa kk kunywa bia ni swala moja na kuwa mlevi na swala jingine coz hata ndugu zangu wanakunywa lkn bado hawajafikia kuitwa walevi
  11. M

    Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

    Wadau mambo vipi? Naomba kuuliza jambo juu ya swala la pombe mimi sijawahi kunywa pombe ila kila siku huwa natamani kujaribu kunywa ila kinachoniogopesha sijui nita react vipi baada ya kulewa nahofia nisije nikavua nguo au nikatukana watu. Naomba ushauri ni bia gani inafaa kwa biginers na...
  12. M

    HESLB kuanza kupokea maombi ya mkopo kwa mwaka 2017/18 kuanzia Agosti 06

    nafasi nadhani bado sababu huwa wanatoa muongozo kwenye website yao so jaribu kuingia mara kwa mara na pia nadhani dirisha la Rufaa linafunguliwa baada tu ya awamu ya mwisho ya kuisha na huwa liko wazi kwa siku tisini na kwa maelezo zaidi mcheki kamishna wa mikopo wa chuo chako atakusaidia GuD DaY
  13. M

    Naomba kujuzwa haya kuhusu kozi ya ICT inayotolewa NIT

    nice mkuu ila naomba unieleze kwa kifupi juu ya telecom course hasa ina combine v2 gan
  14. M

    Naomba kujuzwa haya kuhusu kozi ya ICT inayotolewa NIT

    Thanks for Clear answer sema me nimechaguliwa hapo NIT mwaka huu so sio mbaya ukinipa namba yako unieleweshe mawili matatu about NIT surroundings
Back
Top Bottom