Recent content by MJM

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Magufuli ni kufuru, hauakisi ubanaji wa Matumizi

    Huo msafara ni mdogo sana kwa ule wa Makonda akiwa ziarani Dar es Salaam
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Papa "kuruhusu talaka" kwa ndoa za kanisa katoliki

    Kuna watu wababaishaji sana nchi hii. Unaandika habari hata haujui chochote. Eti habari inaandika "Vatican City" halafu source yake ni BBC. Niliwaonea huruma sana huyu mwandishi, mhariri wake na mmiliki/wamiliki wa gazeti hilo. Wana safari ndefu sana kufikia malengo yao
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Papa "kuruhusu talaka" kwa ndoa za kanisa katoliki

    Hiyo ni kwa mujibu wa democrasia ya kichwa chako. Mambo ya Ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Wewe endelea kujitwalia na kuweka ndani kwa kadri unavyoweza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki halali wa Clouds Media Group?

    Wengi mnapiga bla bla tu hamjui mmiliki/wamiliki mnadakia juu kwa juu. Halafu hii ni Clouds Media Group ina maana chini yake kunaweza kuwa na several companies zenye different ownerships. Kwanini tuamini kama ni Kusaga's just because ndiyo tunawasikia na wasiwe watu wengine. Mnaweza kutoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba fukuza kocha haraka sana

    Ndiyo, kandanda la kuvutia tuliliona jana Mbeya na mkapata point zenu za kutosha -3
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limekuwa tumaini kuu kwa masikini, yatima na wenye njaa. Ingawa kuna wanaolibeza

    Una uhakika mkuu? Ancient Roman Empire ni tofauti kabisa na Catholic Church. Soma vizuri historia. Hebu soma link hii utapata japo kidogo ufahamu The Roman Empire and the Vatican - Vatican Articles
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Kumbe unafahamu visababishi????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Acha upuuzi. Ndiyo abakwe hadi kufa? Hivi unadhani kifo kwa tendo hilo unaona ni kitu kidogo hivyo. Ni unyama mkubwa sana ambao mnatetea. Hakuna sababu yoyote kubwa ya kuhalalisha kuondoa uhai wa mtu kwa njia kama hizi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

    Hovyoo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage : Ni kweli hali ya uchumi ni mbaya

    52,000 kila kiwanda kimoja kikitoa wastani wa ajira 100 ni wananchi 5,200,000 watakuwa wameajiriwa. Hapo bado kuna sector nyingine. Tatizo la ajira liko wapi? Huyu anahesabu hata vile vya kufunga ubuyu, korosho na karanga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa jiji la Arusha amvaa RC Gambo kuhusu matumizi ya fedha

    Hii ndiyo njia ya mwendokasi ya kukataa maagizo ya wakubwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa jiji la Arusha amvaa RC Gambo kuhusu matumizi ya fedha

    Mkurugenzi anacheza "mind and safe game" Kamkatalia mkuu wa mkoa. Kavujisha taarifa ili apate nafasi ya utetezi wa wananchi kwa yale anayoagiza mkuu kinyume cha taratibu, katengeneza mechanism fake ya kupiga kura kubaini waliovujisha siri ili mkuu wa mkoa ajue yuko pamoja naye na mwisho anamwita...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Lugha yenyewe unayotumia yanaonyesha unahitaji roho wa Bwana akuongoze. Hivi unadhani Mungu ni kama Magufuli pale Ikulu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

    Yesu si binadamu ni Mungu Yohane 1:1-4. Na kwa kuwa ni Mungu hakuwa na sababu ya kujionyesha yeye bali kutimiza mapenzi ya Mungu Baba. Hakutaka kujitukuza yeye "... mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" Hayo mambo yenu ya "Mtanijua mimi ni nani" mtabaki nayo ninyi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania UDART yapiga marufuku polisi, viongozi, walimu na walemavu kupanda bure

    Ni kweli inabidi wafikirie namna nyingine ya kuwasaidia walemavu kama kutengenezewa card maalum na uwepo udhibiti wake kwa wasiokuwa walengwa. Lakini kwa utaratibu wa kufungua mageti kwa ajili yao polisi na wajeda watatumia loophole hiyo.
Back
Top Bottom