Recent content by mji mwema

  1. M

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    Ipoooo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    Mwanzoni ilikuwa vizuri, kadri Sikh zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbasa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    Inategemea uko wapi!maeneo ya Vwawa, Tunduma iko hoi internet ya Halotel Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    Duuuu!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    Mlianza vizuri sasa munamaliza vibaya!! Niliipenda Halotel kwasababu ya internet yenye nguvu, lakini wiki hii ni ya pili hapa Vwawa, internet ya Halotel haina nguvu kabisa hata kuandika ujumbe huu kuifungua jamii forum haina uwezo, nimetumia Vodacom!!! Makapuni ya simu yanapendwa sana kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

    Wahame wote
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

    Wahame wote, ili tuone raga ya kuwa na chama kimoja
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada ya Pasaka, awataka watanzania wamuombee

    Duu haya ndio yaliyojaa kwenye mioyo ya waTanzania
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

    Hiyo 666 ina maana gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania ITV hata kama ni woga huu sasa umezidi

    Bora uingie jamii forum utapata ukweli, kuliko TV za Tz
  11. M

    JamiiForums Tanzania ITV hata kama ni woga huu sasa umezidi

    Kiwango cha utangazaji ITV kimeshuka, utafikiri tbc, siku hizi Sina hamu ya kuangalia taarifa za habari za Tz, labda hiyo azam tv
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure.

    Nadhani TRA wamekusikia waache kuhangaika na huyu Askofu, wataiibika vibaya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Toa ndugu toa ndugu, Mungu anakuona mpaka rohoni
Back
Top Bottom