Habari za leo jamani nauza Kindle ipo katika hali nzuri kabisa anayependa anaweza kunipigia 0752 559802.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tafadhali nitafuteni kweli nissan X-trail kwa asiye jua naman ya kubadilisha transsmission oil ni lazima ataharibu kitu kinaitwa Gear selector baada ya hapo hauwezi kupata gear kwa urahisi kama mwanzo.Nipigie 0752 559 802.
Hbr wana JF msaada tafadhali mwenye circuit (motherboard) ya simu
aina ya blackberry 9800 Torch anaiuza aniambie au tuwasiliane napatikana
Morogoro mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.