elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Jumapili ya iliyopita nilipata ajali gari langu liligongwa kwa nyuma likabonyea na bamba likapinda, bahati nzuri halikupasuka kioo wala taa.
Siku hiyo hiyo nililipeleka kwa fundi alinyooshe lilikaa siku tatu kaliniletea jana.
Sasa tatizo ni kwamba nilipoliendesha nikagundua linaunguruma sana na linachelewa badili gear toka namba moja kwenda mbili na mbili kwenda tatu.
Kwenye mlima ndo kabisa linabaki namba moja.
Kuna jamaa flani aliniambia tatizo litakuwa mafla na kuitengeneza milion 2 ila akaonekana mbabaishaji na hakuwa na uhakika wa alisemalo na bei ilinitisha kama ki alteza tu bei hiyo prado si ataniambia milioni kumi.
Wanajamvi nani anamfahamu fundi mzuri anayeweza nisaidia tatizo hili.