Recent content by MJENGA

  1. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Nyerere aliwahi kuwa mbunge?. Mkapa je? Samia je?
  2. MJENGA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

    Joined December 14, 2023. New Member with only two posts. Tumsamehe bure.
  3. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu libadilike kuendana na teknolojia

    Chukua hiyo!
  4. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

    Tragedy movies always have tear ends
  5. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Ngazi ya Wataalamu waanza Nchini Angola

    Good move SADC, together we can make great change!
  6. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Suala la mafuta ni siasa na ni janga la dunia nzima, tuvumilie tutavuka tu

    Ni janga la dunia nzima, tutulie tutavuka tu.
  7. MJENGA

    JamiiForums Tanzania The Royal Tour: Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ampongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri

    Huyo ndiye Mchungaji PETER MSIGWA ninayemfahamu. Kanyaga twende tumechelewa sana bro.
  8. MJENGA

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

    Issue hapa siyo Msukuma vs Mpina, bali ni nguvu ya Kipara wa Nishati kujilinda. In short Mpina komaa!. Nawe Msukuma inabidi watu wakutail usikute ulishapigwa mpunga na akina flan ili umtetee Kipara kwakuwa Kipara mwenyewe anawafavor sana hao akina flani. Think outside the box bros and sis
  9. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Rais ashauriwe apumzike kumnanga Rais aliyetangulia

    Ndo kazi unayoifanya kumbe!. E1 maana yake nini we kilaza usiyejielewa?.
  10. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya ukabila inaienyemelea nchi, Rais Samia inabidi aongoze kwa mkono wa chuma kuepeusha hili

    Mkono wa nini!!??. Wewe unayeshauri huu uharo leo, kesho ndiyo utakuwa wa kwanza kulalamika hovyo humu. Mwacheni Mhe. Rais Samia apige kazi kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi, ushauri wa mkono wa chuma peleka kwa majirani zetu Kaskazini Magharibi.
  11. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Nakwenda kukutana na makampuni makubwa ya gesi kujadili namna ya kusambaza gesi duniani mapema!

    Achana na magesi we Mr Kipara. Shughulikia kwanza mradi wa JNHPP ambao sisi watanzania tunaamini ni mradi kombozi. Unajikoki sana bro, punguza!
  12. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia huna nia njema na Wizara ya Nishati, haifiki kokote kwa teuzi za urafiki

    Usiwalaghai wananchi. Bwawa la Umeme JNHPP unaendelea vizuri na mkandarasi mkuu na wakandarasi wasaidizi wote wako site. Utakufa kwa kijibwa cha roho shauri yako!
Back
Top Bottom