Haya maisha acha kabisa. Watu hawajui tu wanaume tunatokea wapi. Na bado tulikaza. Hawa madogo siku hizi wanafumiliwa malinda wakati sisi miaka yetu tulikaribia kufa kabisa na malinda yetu yapo sawa. Hakuna kuuza ubingwa.
Koo linakauka.... Sauti inagoma kutoka. Mate unayapata kwa mbali halafu machungu kinoma. Unakuwa dhaifu hata mashine haisimami hamu inakata... Ikisimama unasikia maumivu tu na kero maana ukipata na ukipiga demu unatoa upepo tu... Kama tairi lililotobolewa.
Nguvu ziliisha. Miaka hiyo tulikuwa tunakaza kinoma. Umewahi kuona mtu ana njaa hadi mate anameza kwa nguvu sana kama anameza jiwe? Hakafu kutema hawezi maana ni machache halafu pia nguvu ya kuyarusha mbali hana. Mwaka 2005 siwezi usahau kabisa.
Baada tu ya kumaliza Elimu nikawa nimefanyiwa kajisherehe flani pale home wakanipa na zawadi kati ya zawadi hizo kulikuwa na pesa.
Nikaona hapa hapa nianze mchakato wa kuhama home. Maana niliona home ni kama wameanza kunizoea sasa. Kuna vi ishu vidogo dogo wananiambia nami niwe nafanya wakati...
Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi.
Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
Dogo unakaa iddle sana. Mpaka unaanza ku imagine stories za kipumbavu kama hizi. Ukikosa kazi basi angalau hata pitia pitia katiba au mkataba wa DP World. Itakusaidia kuliko kuwa iddle halafu unaanza kujiwazia mambo kama haya ya kipumbavu na uongo wa kitoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.