Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Nauza mahindi mabichi (gobo) heka moja. Hivyo nahitaji mnunuzi tafadhali, Shamba lipo Mlandizi bonde la Mtoruvu, maarufu kama Kivukoni kwa Mpili.
Mwenye uhitaji tuwasiliane, aje private message.
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Ninamahindi mabichi yapo shamba, heka moja nauza kwa bei ya jumla. Hivyo nahitaji mteja tafadhali.
Shamba lipo Mlandizi, bonde lamto Ruvu, maarufu kama kivukoni kwa Mpili.
Mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.
kwa uzoefu mdogo nilonao, kama wanajikunyata na kukoroma itakuwa ni mdondo, kwahivyo bac kukuwanatakiwa kupatiwa chanjo ya mdondo kila baada ya miezi mitatu. hiyo nikama kinga, kwasasa wamesha athirika, kwa uzoefu wangu mdogo ukiwapa chanjo wakiwa wameathirika wanaweza kufa kabisa.......,
sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.