Mjasirinamali
Member
- Mar 7, 2017
- 32
- 19
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums,
Ninamahindi mabichi yapo shamba, heka moja nauza kwa bei ya jumla. Hivyo nahitaji mteja tafadhali.
Shamba lipo Mlandizi, bonde lamto Ruvu, maarufu kama kivukoni kwa Mpili.
Mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.