Kwanza sina hakika hata chembe kama maendeleo aliyoyaleta KUB jimboni mwake wewe umefikia hata 1 ya 10 yake jimboni mwako zaidi ya kuimba taarabu tu,nakushauri umtafute Mzee Yusuph ufanye nae korabo.
Ningekuona wa maana siku ile wabunge wa upinzani wametoka nje kususia kikao cha ubunge...
Kweli CHADEMA wamewashika pabaya masisiem,yaani hayawezi kuongelea mambo yao bila kuitaja CDM
Laiti ccm angekua ni binadamu na akazaliwa uswazi angekua ka sio mchawi aliekubuhu basi angekua kibaka ama changudoa wa kutupwa.
Huu uzi ulioletwa na mtu aliyelewa sembe unanikumbusha mwezi uliopita...
Mkuu acha uongo wa rejareja
1.Mbunge wetu Mpendwa hakugombea ubunge 2000 wala 2005
2.Hatuna plan za kumbadilisha mbunge wetu labda aamue kuacha kugombea yeye mwenyewe kwa sababu ni mchapa kazi hodari
3.Ni haki yake kuliandika jina kwa sababu hiyo fedha katoa mfukoni kwake na si kutoka katika...
Teh teh teh masisiem yanaumiaaaa ajabu!
Si ni bora mara 1000 huyo alienda veta ya marekani kuliko yule anaenda kutalii na kupiga picha na kina 50 Cent U-Bolt Becham
Sisiem mfu hoyeeeee
Akili zilizofubaishwa na sembe utazijua tu;thread inaongelea safari za kishikaji za Jk USA mtu anakurupuka tu mara bavicha mara mbowe yaani inaonesha kwa jinsi gani magamba walivyo na akili za kupachikiwa!
Back to the point ziara za JK zinakoleza umaskini wetu
Haa haa haaa kweli masisiem yana akili za kimsukule kweli kweli,eti alipopatwa na matatizo CDM walishindwa kumsaidia alitaka chama ndo kilipie ada za watoto wake au chama ndo kimpe hela ya kununua mboga ndani?,mbona watu wanatumiwa kijinga hivyo jamani!
Pole kwa wale wanaotoka ndani ya safina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.