Recent content by mjali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

    Kumbe ulishampigia kufuli na hii ya lowasa inakuwashajee? Nyambizi asiena mume wee,,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Nimefikia conclusion hii kwa kuona ktk vituo kadhaa,lkn ifike hatua tuelewe kua vijana nao wanasehemu ktk maendeleo ya taifa lao,nawasilisha wakuu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Hii imejitokeza kwa hali isiokua inatarajiwa na wengi,kuanzia miaka 18---35,je hii inaashiria nini?tujadili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo amkemea Lowassa

    Kumbuka tunahesabu SAA, porojo hiz no effect at all,maamuz tayari,ni lowasa tu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Ukiona mpaka leo hujitambui bas we kchaa! Lowasa ni muhimu kuliko maelezo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Umetoa reasons ambazo kwa haraka nina evaluate uwezo wako wa kufikiri,hebu lete nyingine na tuambie Nani ambae leo hii anaweza kusimama anaetoka upande wa mafsiem aseme yeye ni msafii?na kama hilo halitoshi tueleze ataendaje kutimiza ahadi alizo ahidi lukuki kwa wanachi ilihali wanaomzunguka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Nauna umefungwa hata akili!huna hata moja unafuata tu,hata shimo huoni,! Nguvu ya uma manake ni maamuzi ya walio wengi,achana na akili za kushikiwa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Wee ni bureee kbsa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    Hii mtasemaje mafisiem
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maombi maalum: MUNGU kamata akili, mikono, fahamu za Wapiga kura wote siku ya tarehe 25/10/2015

    Eeh mungu ponya nchi yangu kupitia mtumishi wako Lowasa ktk jina la Yesu kristo alie hai amen
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

    Usitoe povu kiasi hiki,hata najua hakuna wakumpinga Edo!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kinana ainyamazisha Mbeya, waahidi ushindi kwa CCM

    Sasa povu kubwa la nini? Achana na Edo ni mwiba!
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kuiga kudeki barabara!

    That is it!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Hivi ulitakaje yani?simbilisi were!
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli ataja mafisadi CCM

    Sijaona chochote ulichoandika,hayo majina yako wapi?hizi porojo peleka kwenu
Back
Top Bottom