Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

Huyo Babu duni atabaki kuwa duni vivohivyo, na UKAWA itabaki UKIWA.....hivi mnaijua CCM au huwa mnaisikia????........Subirini oktoba5 kazi mnayo.....
 
YUKO WAPI MGOMBEA MWENZA WA UKAWA?

katika hali ya kushangaza na ambayo inaonekana kutoulizwa, sasa ni wiki ya tatu mgombea mwenza wa Ukawa Bwana Juma Duni Haji ametoweka na hajulikani aliko. Akizungumza na mtoa taarifa wetu mchambuzi wa Siasa Bwana Mahende aliuliza swali ambalo Viongozi wa Chadema wamekuwa na majibu yanayokinzana.

Wako baadhi ya Viongozi walisema kuwa bwana Duni anapumzika kidogo na wapo wengine wanasema alipatwa na Malaria. Sasa lililoshangaza ni jibu kutoka kwa wale marafiki zake aliwahi kuwa nao CUF (majina yamehifadhiwa) kuwa ni hali ya kuchoshwa na dharau na kumdhihaki kunakotokana na viongozi wa ukawa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti , viongozi hao walieleza masikitiko yao juu ya utamaduni huo mbaya ambayo unamdharirisha ndg Duni na hata wengine kufikia sehemu ya kusema tulimshauri asifanye maamuzi ya kwenda kujiunga na siasa hizo lakini mwenzetu hakusikia. Swai , je Bwana Duni yuko wapi lilikuwa ni zito na kuzusha sintofahamu kwa kuwa inaonekana hawakutaka kueleza mara moja japo vyanzo vyengine vya habari vinadai Mh.Duni yupo Zanzibar akifanya kazi na Maalim Seif kumuombea Kura.

Kwa upande mwengine sasa , suala la ugombea Uraisi limechukua Sura mpya baada ya Mke wa Mgombea Ukawa kuchukua nafasi ya kufanya Siasa kwa niaba ya Ukawa. Katika kile ambacho kimetafsiriwa kuwa ni kumpigia debe Mumewe kwa upande mmoja, lakini wako wako wanaosema ni mama mwenye mvuto na hata kufikia sehemu ya kumuita Mgombea Mwenza.

Mchambuzi wa Makala hii alitapa nafasi ya kuangalia na kufuatilia siasa za Mama Regina na kujionea jinsi huyu mama alivyochukua nafasi ya Mumewe kwenye siasa hizi na hata kumfanya Bwana Duni kuchukia. Mama anaandaliwa Mikutano mikubwa sana, anawezeshwa na pia anathaminiwa sana kuliko hata huyo mgombea mwenza anayetmbulika kiserikali, walisikika baadhi ya watu wanaohisiwa kutokea CUF wakilalamika . " sasa si afadhali huyu mama angekuwa ndiye mgombea mwenza?".

Kutokana na haya yanayoendelea katika kambi ya Ukawa ni wazi kuwa mfumo mzima wa uendeshaji wa siasa za Uchaguzi una Walakini. Ukilinganisha Mizania ya ile siasa inayofanywa na CCM ambapo mgombea mwenza anafanya siasa vizuri na anaendelea salama ni wazi kuwa upande wa pili yako Maswali ya msingi ya kuuliza.

Je, Duni Juma Haji, ameamua kujiondoa kwenye Ugombea Mwenza?

Je, Mama Regina Lowasa ndiyo Mgombea Mwenza Kwa sasa?

Je, Bwana Duni amekimbilia wapi?

Je, ni kweli kwamba Bwana Duni, anadharauliwa na kuonekana si lolote wala Chochote

Kutoka kwa Dawati la Uchambuzi Siasa, Mimi Kurumbiza.
 
Jaman aandaeni vichinjio bado cku nane tuu
 
16.jpg

Namuona kamanda Amani.
 
Bukoba wamefuta ccm rasmi, baada ya miaka kumi tunaiweka kwenye kumbukumbu hiwe historia.
 
Leteni current issues sio past...OK....Lazima mkalie wembe tena dis time.....CCM ndiko baasha kwenu kudadadeckkkk!!!!!!
 
Ccm ndo baasha wenu hapo mlipo mna mimba msubiri kuzaa oktoba25......na mtazaa hata kwa operation kudadadadeckkkkk!!!!!!
 
Mimi huwa nawapenda watu wa Bukoba huwa wapo very smart yaani sura miili mavazi huwa wanapendeza sana vichinjio vyot kwa Lowassa
 
Back
Top Bottom