Recent content by mizymazy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Innalillah wainna ilaihi rajiun
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka hizi enzi hizo?

    Nimeiba sana mchele ndani tulikuwa tunagawana majukum kuna mtu ataiba kiberit wengine mchele wengine kuni. Sasa ukamatwe bwana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete aandika Historia katika kulifanya Jeshi la JWTZ kuwa la Kisasa

    Wa malawi tumbo joto na ndo wakati muafaka wakuzionesha zana kama zile
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

    Mwanzoni kanafsi kalianza kukataa ila it is a realistic data. Kama namba moja angekuwa USA akifuatiwa na ISRAEL ningetia shaka maana states wanapenda kujipaikweza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

    Tupo pamoja kiswahili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wasomi

    Morogoro kuna muslim university of morogoro kuna mzumbe university pia kuna jordan university collage ajaribu kuvicheki hivo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wasomi

    Business administation iko poa kwake anaweza soma huku anafanya yake aende vyuo kama IFM TIA CBE etc wanapokea na itakuwa vizur kwake sababu inauhusiano na anachofanya kuna dada yangu nae anafanya hvo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada;Chuo kipi kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajira?

    Wachek hawa wahindi ST JOSEPH UNIVERSITY jana kupitaia gazet la mwananchi nimeona wametoa pre entry admission for diploma minimum entry walizoandika ni minimum of 4 passes at CSEE excluding religious subjects and language subject hence english language will be considered. Matriculation exam /...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada;Chuo kipi kizuri ambacho naweza kusoma na nikapata ajira?

    Usikate tamaa kama ulipiga science tafuta chuo cha maswala ya afya piga au re seat paper tena ujiandikishe mapema japo utapigwa faini kwakuwa umechelewa tareh 31 necta hawataruhusu tena application
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uamsho waachiwa kwa dhamana yenye masharti magumu

    Duh naona wagalatia mmechachamaa mbingu yenu ambayo kila mnaitulea fungu la kumi inaonekana imejaa miti tu kama misitu ya kongo haina starehe yoyote. (jibane sasahivi utumie baadae)
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Abubakar Sharif Makaburi apigwa risasi na kufa huko Mombasa

    Reason out things before judgement hata kichaa anamuona aliyetimia mwendawazimu tu. Kwahiyo lazma ufanye research kwann hao watu wanaoitwa (fundamental muslims) wanauwawa. no body knows the pain of death but only the dying man. Kifo kifo 2 kiwe cha gun au deasease the living man dont know its pain.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utotoni watu wamelamba sana hii

    Kuna icecream nilikuwa nazipenda sana zinaitwa chockstick au lambalamba
Back
Top Bottom