Mkuu wacha Mungu tumwachie cheo chake bila msaada wake ilikuwa utata mtupu. Kila kitu nilimwomba aniongeze maana kikombe kilichokuwa mbele yangu na ambacho nilipaswa nikinywe hakika sikutaka kabisa hata kukiona. Kimerudi kule kiliko toka. Huwezi amini mkuu nilikuwa natembelea unit chache sana za...
Hapa ninapokaa nipo jirani kabisa na kanisa fulani ambalo kwa mida hii sasa ndo limezama kwenye maombi mazito ya kiroho. Hawa waumini wake wamejizatiti sawa sawa kuziangamiza nguvu za muovu shetani. Lakini sasa hali ni tofauti sana kwangu. Yaani hapa nilipo nawaza vitu vya ajabu ajabu tu visivyo...

Namhurumia sana huyo jamaa yako Adam. Angeingia Wwe mapema kuanzia kipindi cha Sumer slam mpaka tulipo sasa kwenye payback sidhani kama angepumua mbele ya akina Roman Reingns, Cm Punk kabla ya kukutana na kiumbe cha ajabu sana na cha kipekee kama Daniel Bryan
Haya mahusiano sijuwi huwa yanakanuni? Au labda huwa tunabahatisha tu kuwa sehemu sahihi? Mi huwa sina jibu kuhusu haya mahusiano, kwani we mdada kutoka moyoni mwako umeamuwa kipi na ukishikilie kwa nguvu zote usikiachie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.