Recent content by mizarb

  1. mizarb

    Biblia ni Kitabu kinachoheshimika sana, lakini ukweli ni kwamba kiliandikwa na watu Kama Sisi

    Waliandika binadamu wenye unabii mkubwa. Mungu anaweza kumtumia binadamu kufikisha ujumbe wake
  2. mizarb

    Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Inasikitisha sana wanaume wa siku hizi kushindwa kusimamia nafasi zao.
  3. mizarb

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Moja ya ajali mbaya sana ukitazama picha za tukio
  4. mizarb

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Kuna uwezekano mkubwa aliyoyatarajia kutoka kwako hayapati kwa huu muda mfupi
  5. mizarb

    Hizi ni baadhi tu ya faida za kusoma vitabu

    Inategemea pia na aina za vitabu mtu asomavyo. Kuna baadhi ya vitabu ni hasara kwa ukuaji wa ubongo
  6. mizarb

    Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Dar - Dom ni roughly 450 km A. Fuel consumption ya TVS/boxer ni 40 - 60 km/l Zinahitajika lita 10 (roughly) ambayo ni kama 26,000 TZS kwa kila pikipiki. OIL - 8000 TZS, Achilia mbali gharama za chakula pamoja na risks za safari ndefu kwa pikipiki. B. Kusafirisha kwa lori Dar - Dom ni around...
  7. mizarb

    Hivi pantoni ni Meli au si meli?

    Pantoni ni kivuko - ‘moving bridge’ kinachotumika umbali mfupi kuvusha vitu/watu. Ni daraja linalotembea (mara nyingi kinatembea mbele au nyuma, hakihitaji kugeuka) Meli ni kwa ajili ya masafa marefu na huwa ina ‘mbele’ na ‘nyuma’ Nifahamuvyo mimi, wataalamu wanaweza kufafanua zaidi
  8. mizarb

    Hollywood na ubovu wake kwenye matumizi ya bunduki

    Inaelekea mimi ndo sijui tofauti ya risasi na magazine. NB: Uchambuzi wako unaonekana ni kutoka chanzo flani na si mtazamo wako
  9. mizarb

    Kauli ya Ex wangu ilibadili maisha yangu

    Mkuu una pesa ukilinganisha na hali yako ya zamani ama una pesa ukilinganishwa na wenye pesa?
  10. mizarb

    Jiji la Mwanza ni tishio, kasi ya ukuaji ipo juu

    Kishili na vitongoji vyake pamoja na kuwa ndani ya Manispaa ya Nyamagana vina changamoto ya umeme, maji na barabara.
  11. mizarb

    Nandy na Maua Sama nani mkali?

    Hawa ni kina nani? Wasanii ama Video Queens wa bongo flavor?
  12. mizarb

    Mwanza: Basi la Kampuni ya Abood Bus Service limepata ajali maeneo ya Mkolani

    Dereva mzembe, unakwepaje bodaboda mmoja na kuhatarisha abiria wengi?
  13. mizarb

    Wakala wa Barabara nchini (TARURA) sasa wameingia kwenye Biashara hatarishi ya Parking System

    Wakati (TANROADS) wakiunganisha barabara za taifa na mataifa mengine, mkoa na mkoa wanakuwa wanaruka wilaya ama tarafa au vijiji?
Back
Top Bottom