Kaka ulaya wanafanya wanafanya innovation tu kwasasa lakini viwanda vyao vingi vipo china, taiwan, india, tiland, vietnam wao wamebaki kubuni bidhaa tu arafu inaenda kuzalishwa kwenye mataifa mengine ambako ndiko wametega viwanda vyao mfano bidhaa kama Iphone ni ya wamalekani lakin kiwanda chake...
Mtu mweusi mvivu wa kufikilia lakin pia hatuna mazingira wezeshi kuna watu wanaweza kufanya kazii izoo za kuandika historia yetu lakin mazingira ayawawezeshi jibu ni lile lile poor government saport
Lakin pia kaka hii ligi ningumu kwa sisi kwasababu waarabu wapo financial fit sanaa atutaweza kukompit mbele yao labda tutumie mbinu za wabrazili kuzalisha vipajivyetu kwa wingi lkn kwa kusajili awa free agent kutoboa kwetu nikugumu sanaa
Sahihi kaka inawezakana labda io wanetumia kwasababu ni msimu wa kwanza lkn misiimu inayofuata waakaangalia kwa kukusanya point kila myaka mkuu nimekuelewa piint yako vyema
Haipo ivyo kaka we ujiulizi kuna timu kubwa ngapi azijaenda kule kuna liverpool kuna barcelona kuna Arsrnal we ujiulizi kwanini araf kuna timu kama za akina chelsea atretical dotmund zimeenda na ubovu wao nikwasababu zilifanya vizuri myaka mnne ilio pita icho ndio kigezo chao nenda kasone...
Tofauti nikwamba izii ni Lank za FIFA na izoo unazosemea wewe ni Lank za CAF kwaio FIFA wanautaratibu wao na CAF. Wanautaratibu wao kulingana na ligi inayokwenda kuchezwa ligi ya FIFA inavigezo vyake ili wewe ukacheze na CUF inavigezo vyake ili wewe ukacheze ivyo uwezi tumia LANK za CAF kwenye...
Uko sahihi kaka lakin kaa ukijua kila kitu kina strength na weakness zake lakin hapa mimi nakwambia vigazo vyao wanavyo viangalia wao atuwezi kutumia common sense kama unavyosema wewe akat wao washaweka wazi vigezo vyao labda wafanye reforms lkn bila ivyo icho ndio kigezo chao wewe kwenda...
Hapana sio kila mwaka hao wanne walio fanya vizuri mwaka huu ndio watakao kwenda kushiliki io 2029 kwaio sisi kama YANGA na SIMBA tujipange tufanye vizuri mwaka 2029 ilii tukashiliki mwaka 2033 wanacho angalia myaka nne ilio pita timu gan zilifanya vizuri ndii zinakwenda kwaio walio fanya vizuri...
Kaka izii ni lank za world cup sio lank za CAF izii ni lank kwaajili ya world cup 2029 ingikua lank za CAF sawa makolo wapo nafasi ya 4 lkn izii sio lank za CAF ninza FIFA izoo kwenda ukoo lazima ujioange vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.