Mi nakushauri Kama pesa unayo nenda Nairobi, nshawaona watu wawili waliofanikiwa kwa njia hiyo walifanyia huko, na gharama ni million 17 ila gharama hiyo inakuwa pamoja na accommodation Kama hauna sehemu ya kufikia Kama unapo pa kufikia inapungua, na failure rate yake ni ndogo Sana ukilinganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.