Recent content by mistari4G

  1. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Mkuu em ingia YouTube check hii McCain,Lindsey Graham and Amy Klobochur in Ukraine Hv watu ni wageni sana wa US,kwani US ndo msafi wa hii dunia? Zelensky anatumika tuu
  2. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    McCain akiwa Ukraine
  3. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

    Kikubwa tunaona kama Zelensky anapigana Lkn ni pressure kubwa anayoipata to kwa Marekani Marekani ndo mpango mzima na waliipanga hata kabla Mccain hajafariki Hapo ni timing inatafutwa Mrusi si Afghanistan,Zelensky yuko mtu kati anatumika na hana ujanja hata kiduchu Ipo video Mccain na kiongozi...
  4. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Picha za Satelite zaonesha harakati za kijeshi nchini Urusi

    Ss mbona we ndo povu la kishabiki linakutoka
  5. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Ukomandoo ni fani. Unauondoaje au ukitoka jeshini unauvua ka gwanda?
  6. mistari4G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

    Oooooho..
  7. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Alituloga
  8. mistari4G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Usuri kwenye maswala ya kujenga familia na mahusiano sisi ndo huwa tunajipeleka njia haram na ya miba
  9. mistari4G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Hata kwenye ukoloni utaturudisha kwa ushamba wako
  10. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Tuonyeshe Estate unayoishi ili tujibu kwa viwango vyako
  11. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Huenda hiki alichokitabiri msanii Chid Benz kwa Makonda kikatimia?

    Atasema ye anaitwa Daudi Bashite
  12. mistari4G

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu

    Kwenye Tz hii mkuu umetusogeza wapi ww? Umetumia lugha kali sana kwa hili kabila,ni vyema uwaheshimu na utu wao Sie sote ni waTz ila lugha tunazotumia utadhani ni wanaharakati wa ubaguzi wa kiNazi Ni vyema kama umeelimika tumia taaluma yako kuwanyanyua unaosimama nao Kwenye bendera 1 Chuki...
Back
Top Bottom