Recent content by Mistanyere

  1. Mistanyere

    Soma tafadhali, mawazo yako ni msaada kwa jamii nzima

    Kilicho kufurahsha nn mkuu...?
  2. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    F Fungua biashara yako ss unakaa mtaan Na degree ya bzness unategemea nn?
  3. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    M Mbona hyo ofisi tayari...!!
  4. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    Hufai hata kidogo, watoto WA maskin tunajua mchango wa form six leavers katka maendeleo yetu ya kielim, binafs nimesoma olevel bila kuwa Na walim wa sayans lakn n fom six haohao unaowapinga ndo wamefanya nkatuasu Na mpak Ss nasuburia matokeo nikiwa Kama muhitim wa PCB... Usipotoshe jamii bna
  5. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    Nimefanikisha kufungua group nikiwa Na wazalendo kadhaa..ww 4m six Ni muda wa kuichangamkia fulsa twenzetu...!!
  6. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    Mpaka sasa nna namba 5 nikipata vichwa ishirin hv nafngua group.... Mtoa Uzi plz onyesha ushrkiano coz we'r all n th same truck....!!!
  7. Mistanyere

    Natafuta kazi (Temporary), nina elimu ya kidato cha sita

    Naona ukoo unazid kkua Na kukua...mmmmh na mm nimo kwnye mnyororo wa fom six walio achwa na mh.JKT la msing ndug zangu tujtahd tupate la kufanya coz mwez wa kumi mbali na mtaa mgum balaa... Kwa mlioko whatsapp nna wazo moja, submit no yako Ili tufungue group tupeane mawazo naamin tukiwa Kama...
  8. Mistanyere

    Soma tafadhali, mawazo yako ni msaada kwa jamii nzima

    Nashkuru kwa wazo lako broo,nitalifanyia kazi japo result slip sina coz ndo nasubiria matokeo...!!
  9. Mistanyere

    Soma tafadhali, mawazo yako ni msaada kwa jamii nzima

    Habar zenu great thnkers..!! mm Ni kjan mweny elim ya kdato cha sita, napenda kuitumia fulsa hii kuomba msaada wenu wa kimawazo enyi wana jamii forum nikiwa na iman kuwa hii ndiyo sehem pekee ninayo weza pata mawazo chanya yatakayo niwezesha ku-move ili kulifikia lengo.... Nia na madhumuni ya...
  10. Mistanyere

    Nmeshindwa kupata mpenzi

    Hahahahahahaha.. !!! Housing sio issue bhana, mbona remi ongala alikuwa na mzung (R.I.P remi)
  11. Mistanyere

    Methali nyingine bwana

    hahahahah...!!! Hyo ya kk weng noma...!!!
  12. Mistanyere

    Kwanini Website ya wizara ya elimu Haipo hewani?

    wactake ku2ambia wamexhndwa klpa bill wkt kuiba kod ze2 n mahodar,kwanz ktendo cha k2acha mtaan wkt 2mefaulu n ukatli
Back
Top Bottom