Recent content by missyrose

  1. missyrose

    JamiiForums Tanzania My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

    Nyingi zimetajwa Kuna Miracle in Cell no7
  2. missyrose

    JamiiForums Tanzania Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

    Angalau siko peke yangu.. Hapo naongezea Salt 13hours:Secret Soldiers of Benghazi Lone Survivor Black Hawk Down Apocalypto..[emoji16]
  3. missyrose

    JamiiForums Tanzania Filamu gani ulioni ni mbovu na haumshauri mtu mwengine kuiangalia?

    Tenet Hamna kitu mle
  4. missyrose

    JamiiForums Tanzania Nili-underestimate Shogun: Ni kali

    Nikutoe hofu hiyo sio ya wakorea.
  5. missyrose

    JamiiForums Tanzania Who is your best ACTOR?

    Denzel Washington Gerald Butler Liam Neeson Idris Elba
  6. missyrose

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi

    Anakula kwa boss Malazi Akitaka kwenda kwao boss anamlipia Matibabu Mahitaji madogo madogo vocha, mafuta etc Tuwe wakweli offer yake ni nzuri. Mtaani huku wengi ni 50k tu
  7. missyrose

    JamiiForums Tanzania Kati ya Idris Elba na Djimon Hounsou unamkubali Mwigizaji gani hapo?

    Kwa Idris Elba ongezea Beast of no Nation Obsessed No good deed Namuelewa sana
  8. missyrose

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Kati ya movie ninazozirudia mara kwa mara. Salute
  9. missyrose

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Kama hauna namna kabisa unataka kufanyia nyumbani, kuruka kamba itakusaidia..ukiweza kuskip kuanzia 1,000 na kuendelea kwa siku utakuwa pazuri. Ongezea na 'fast walk at home' videos utazipata YouTube zipo nyingi tu za 30minutes hadi 1hour. Usisahau kuwa na kiasi kwenye kula. All the best
  10. missyrose

    JamiiForums Tanzania Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

    Zote nzuri
  11. missyrose

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwili usojulikana ni wa nani. Hauna jino moja wala kovu lolote

    Asante Chief..aina ya movie ninazopenda.
  12. missyrose

    JamiiForums Tanzania 10 Most Underrated TV Shows

    Imetulia
  13. missyrose

    JamiiForums Tanzania 10 Most Underrated TV Shows

    Nimekubali unaipenda sana hii series ndugu yangu..ni zaidi ya mara 10 unaisifia ukafanya hadi niitafute na mimi[emoji1787][emoji1787]
  14. missyrose

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Imagine unatoka Dar-Kigoma na helmet kichwani.
Back
Top Bottom