Recent content by missar epafra

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Kuna yule aliyeita dikteta "uchwala polisi" walipoanza kazi akawahi kukwepa eti maana ya dikteta uchwala ni kuwa sio "dikteta halisi". Wakamwacha ila sjui sasa HV yuko wapi!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Mzee wa kazi ameamua mwaka 2018 asikike. Ila a an gale majira na nyakati asiharibu nchi inayoelekea pazuri. Aheshimu maandiko anayofundisha ili Mungu aendelee kumtumia na pia aheshimu wajibu wa wengine ili nao wamheshimu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuishtaki serikali kwa kunipotezea muda wa kazi zangu kisa msafara

    Dalili ya kukosa kazi za kufanya. Were muda ulioupoteza kwa na kutoroka kazini unalipavlini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gavana mpya kule BOT na namna ya kutafsiri hesabu za uchumi na Fedha, ila huyu ni Mwanasheria na hesabu wapi na wapi?

    Nadhani wengi wetu hupenda kuuliza majibu. Wakati wa kuteuliwa RAIS alisema kabisa huyu atasaidia sana kufsiri sheria za Kofi Kwa BOT jambo ambalo Kwa vyovyote ni tatizo au byakati tunazoziendea za kudhibi umiliki wa madini ambayo in boom kubwa sana Kwa nchini hivyo bilavudhibiti wa kisheria...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Weledi wa kufisadi,kutukana na kukurupuka Kwa matusi au weledi UPI unaouzungumzia?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Uhakika wa wazembe kumuweka fisadi madarakani ili wafisadike nae uliota mbawa ndio maana kila kukicha wanabweka njaa njaa njaa.....! Mtakufa, waadilifu wanazidi nenepa maana tofauti ya kipato chao halali sasa na zamani no ya ongezeko. Tutafika tu na wao(mafisadi) itafika sehemu Watson's...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

    Hata kama ni mimi ningefanya hivyo tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto aliyeamua kumuoa mama yake amuacha

    Hifai haifai kabisa
Back
Top Bottom