Zimbabwe: Mtoto aliyeamua kumuoa mama yake amuacha

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,325
Kijana mmoja nchini Zimbabwe kwa jina la Farai aliefunga ndoa na mama yake mzazi, ameamua kuachana nae baada ya kugundua mama yake huyo (mke) kutumia nguvu za giza na kwenye chakula hili kijana wake avutike na penzi la mama yake mzazi.

Kijana huyo anasema mama yake (mke) alikuwa hataki mwanawe (mume) ale chakula sehemu nyingine yoyote zaidi ya chakula cha nyumbani kwao, sasa hapo kwa mujibu ya Farai ndio alikuwa anamnyunyuzia limbwata au ndumba, kijana huyo akaenda Afrika ya Kusini kwa Pastor Mbolo akamuombea.

Baada ya kuombewa na Pastor Mbolo bwana mdogo Farai akaanguka chini akiwa amefumba macho na kutapika vitu visivyoeleweka vikidhaniwa ni limbwata alilokuwa anawekewa kwenye chakula na mama yake mzazi.

Ndugu Farai hataki tena kumuona mama yake (mke) na simu amekata mawasiliano nae na yeye mwenyewe anashangaa kumuoa mama yake mzazi wakati ikiwa wasichana wa umri wake wapo.

5ccf6997f4d2a8e8d903248dca5c57a8.jpg


Chanzo: Zambian observer
laana kuu hii laahaulah walaakuwatah
 
Kijana mmoja nchini Zimbabwe kwa jina la farai aliefunga ndoa na mama ake mzazi, ameamua kuachana nae baada ya kugundua mama ake huyo (mke) kutumia nguvu za giza na kwenye chakula hili kijana wake avutike na penzi la mama ake mzazi kijana huyo anasema mama ake (mke) alikuwa hataki mwanawe (mume) ale chakula sehemu nyingine yoyote zaidi ya chakula cha nyumbani kwao, sasa hapo kwa mujibu ya farai ndio alikuwa anamnyunyuzia limbwataz au ndumba, kijana huyo akaenda afrika ya kusini kwa pastor mbolo akamuombea baada ya kuombewa na pastor mbolo bwana mdogo farai akaanguka chini akiwa amefumba macho na kutapika vitu visivyoeleweka vikidhaniwa ni limbwataz alilokuwa anawekewa kwenye chakula na mama yake mzazi, ndugu farai hataki tena kumuona mama yake (mke) na simu amekata mawasiliano nae na yeye mwenyewe anashangaa, kumuoa mama yake mzazi wakati ikiwa wasichana wa umri wake wapo chanzo Zambian observer
5ccf6997f4d2a8e8d903248dca5c57a8.jpg
laana kuu hii laahaulah walaakuwatah

MKUU MBONA JINA LA HUYO PASTOR NI UTATA!!!!!!

MAMA HATAKI UTAMU UENDE KWA MTU MWINGINE NA IKIWA NAYE ANAWEZA KUMTIMIZIA MTOTO WAKE. YAANI YEYE AISHIE KUIANGALIA TU WAKATI ALIPOKUWA ANAMUOGESHA KISHA UTAMU WAKALE WENGINE NA NDO MAANA AKAONA NIO HERI AFAIDI MWENYEWE...

HAHAHAHAHAAH!!!!
 
Kuna mkasa nilisoma kwenye internet.....Dogo mmoja alikuwa na umri wa miaka 14 alipata ajali akakatazwa asifanye kazi yoyote hadi atakapomaliza matibabu.Hata haja alikuwa anasaidiwa na watu wengine.Baada ya wiki yule dogo akaanza kuwa kama kichaa, sababu ilikuwa amekaa muda mrefu mno bila mgalala.
Maza'ke akagundua na kumwambia mshua'ke kuwa tatizo dogo haja wank kwa muda mrefu hivyo anataka amsaidie, mshua'ke akamkubalia.
Maza akaanza kumsaidia dogo kwa kawaida, then blow job zikafuata and finally dogo akamkaza mama yake aliyemzaa. Hata baada ya matibabu dogo aliendelea kumkaza mamake hadi alipofika chuo.Baba yake alijua lakini hakuwa na shida........Sikuwa naamini kama hayo mambo yapo lakini sasa nimeamini.
 
God of mercy we are nearly to end up
Mimi najiulizaga hivi Adam na Hawa walitengenezaje kizazi cha binadamu Pasipo kuoana ndugu kwa ndugu? Au uenda Mungu aliwaumba binadamu wakiume na wakike wengi zaidi tu ila Adam na Hawa ilitumika kuwakilisha wengineo? Kama Mungu aliumba watu wawili pekee (Adam na Hawa) basi bila shaka walioana ndugu kwa ndugu na kutengeneza vizazi.
 
Back
Top Bottom