Recent content by Miss Zomboko

  1. Miss Zomboko

    Mahakama kuu yaombwa kumwondolea Sifa za Kugombea Ubunge Moses Ali

    Kampala, Uganda Ombi limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Uganda kutaka kumwondolea sifa mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Fedha chini ya utawala wa Idi Amin, Mheshimiwa Jenerali Moses Ali, asigombee nafasi ya Ubunge (Adjumani West County), likitaja madai ya kutokuwa na uwezo wa...
  2. Miss Zomboko

    Iran asks its people to delete WhatsApp from their devices

    Iranian state television on Tuesday afternoon urged people to remove WhatsApp from their smartphones, alleging without specific evidence that the messaging app gathered user information to send to Israel. In a statement, WhatsApp said it was “concerned these false reports will be an excuse for...
  3. Miss Zomboko

    Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  4. Miss Zomboko

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  5. Miss Zomboko

    Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  6. Miss Zomboko

    Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hahahahahahaha, umenikumbusha enzi hizo Mzee wangu alishawahi kumrudisha Ndugu maana alipiga Simu akiwa Kibaha kwamba anakuja Dar na hapo katokea Sengerema. Mzee alimwambia shuka hapohapo urudi ulikotoka hakuna wa kuja kukupokea Ubungo
  7. Miss Zomboko

    Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
  8. Miss Zomboko

    Polisi Mbeya wafunga Makanisa 6 ya Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeyafunga makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa VWilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe, Kyela na Jijini Mbeya. Taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamini Kuzaga amesema wameyafungia makanisa...
  9. Miss Zomboko

    Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani 2025

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 2018, kwa kutambua umuhimu wa baiskeli kama chombo cha usafiri, burudani, na afya. Maana na Umuhimu wa Siku ya Baiskeli Duniani: Inaenzi baiskeli kama njia rafiki kwa mazingira –...
  10. Miss Zomboko

    PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  11. Miss Zomboko

    PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  12. Miss Zomboko

    PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Kenya says Tanzanian authorities have freed activist Boniface Mwangi following days of detention in Dar es Salaam. A spokesperson of Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi, also the Foreign and Diaspora Affairs Cabinet Secretary, said Mwangi was freed on Thursday morning but added no further...
Back
Top Bottom