Recent content by Miss Mwakipunda

  1. Miss Mwakipunda

    Wanawake watoa SALUTE kwa wanaume waliowatoa BIKIRA TUU! zingine story

    Hakuna ukweli katika hilo, sio wote wanaowakumbuka.
  2. Miss Mwakipunda

    Yanayojiri kwenye Msiba wa Askofu Kulola EAGT Temeke

    Kwangu mimi huyu ndo alikuwa mtume wa kweli kwa Tanzania (Tofauti na mitume wa sasa wanang'ang'ania kuhubiri utajiri badala ya kuwakumbusha watu duniani tunapita), kwani alihubiri katika tabu na mateso makubwa, matunda yake tunayaona sasa. Mwisho wa Safari yako duniani imefika, kapumzike kwa...
  3. Miss Mwakipunda

    Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

    Kuna ndugu yangu huwa anatumia mchanganyiko wa kitunguu swaumu, magadi na ndimu/ limao na huwa inamsaidia sana kila kinapotaka kumbana
  4. Miss Mwakipunda

    Ajali mbaya sana (PICHA) Chang'ombe kati ya Lori la mafuta na daladala

    Kuna ajali nyingine tena lori limeparamia coaster eneo hilo hilo tena usiku huu wa saa moja na nusu Hivi hayo mataa wameweka urembo, ni muda mwingi utakuta haziwaki wakati eneo lenyewe ni la hatari
  5. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Dah, nimejikuta nimetoa chozi baada ya kusoma ujumbe huu. Pole sana Mkuu najua kidonda cha mapenzi kinavyouma, Mungu na akutane na huzuni yako, akupe mke aliye mwema atakayekusahaulisha yote haya. Cha muhimu tuliza aikili yako usifanye papara kutafuta mwingine, mshirikishe Mungu katika kila...
  6. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Hapa inabidi tuwaangalie wote wawili Amu na Ticha, wengi wetu tume base upande mmoja wa kumuonea huruma ticha. Lakini tukirejea post karibu zote za Amu inaonyesha Ticha kwa sasa hana nafasi tena. Hivyo hata akiambiwa arudi kwa ticha itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Nafikiri kuna kitu...
  7. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Unachokisema mimi nakuelewa sana na nakuunga mkono... maana hata huyo ndugu yangu kwa sasa anajuta kwa alichokifanya lakini hawezi rudi nyuma tena. Ila kwa hali aliyofikia Amu ni ngumu kukubaliana nawe, akili yake imefikia kikomo. Nafikiri ili asizidi kumuumiza huyo kaka ni vyema aachane nae tu...
  8. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Mkuu sidhani kwa hatua aliyofikia Amu kama atakuelewa. Nafikiri achague anachokitaka yeye maana keshafika kwenye point ya kutokurudi nyuma tena ambapo hata kama akiamua kuolewa atamuumiza tu huyo ticha. Bora amwambie mapema tu huyo kaka ataumia lakini maisha yataendelea. Kuna ndugu yangu alikuwa...
  9. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Hii ni tabia ya mtu tu si kwamba ni kwasababu msichana au mvulana, hata nyie wanaume kuna baadhi yenu hawafikirii mara mbili (Ninakwambia hivyo kwa sababu yamenitokea mimi).
  10. Miss Mwakipunda

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Amu pole kwa mawazo, nafikiri ni vyema umwambie ukweli tu huyo kaka kabla mambo hayajaenda mbali zaidi. Maji ushayavulia nguo sharti uyaoge. Kiukweli namuhurumia huyo kaka kwa jinsi atakavyopokea maamuzi yako (najua inavyouma kwani nami ilinitokea). Lakini huwezi kupretend kama wampenda kisha...
  11. Miss Mwakipunda

    vichekesho bongo mmefulia????

    Hawataki kuumiza vichwa!
  12. Miss Mwakipunda

    Feedback FEEDBACK..!

    Poa Ishmael pole sana, ila usikate tamaa utapata mwanamke mwenye upendo wa dhati kwako.
  13. Miss Mwakipunda

    Feedback FEEDBACK..!

    Kaka yangu kwa jinsi mapenzi siku hizi yalivyo ni kama sinema usithubutu kutanguliza pesa mwanzoni. Inavyoonekana alishakusoma akajua unazo. Mwanamke gani siku ya tatu tu ushaanza kuomba hata haya hana kha!
  14. Miss Mwakipunda

    Feedback FEEDBACK..!

    Siku hizi si mabinti tu hata vijana nao wanapenda pochi tu.
Back
Top Bottom