Yanayojiri kwenye Msiba wa Askofu Kulola EAGT Temeke

Elie Chansa

Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
72
Reaction score
25
Leo ikiwa ni sku ya mwisho kwa wakazi wa ukanda wa Pwani, kutoa heshima zao za mwisho - hiki ndicho kinachoendelea katika picha, lakini pia salamuza rambirambi zikitolewa kutoka kwa viongozi mbalimbali. Na makamu wa rais ndio amefika eneo la tukio.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Jeneza lenye mwili wa Askofu Moses Kulola[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wachungaji wakijipanga kuusubiri mwili wa Marehemu[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Mmoja ya watoto wa kiume wa Marehemu akilia kwa uchungu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​

[TD="class: tr-caption"]Baadhi ya ndugu katika ibada ya kumwaga[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Baadhi ya wachungaji[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Askofu Sylevester Gamanywa akimfariji mke wa marehemu Dr Moses Kulola[/TD]

[TD="class: tr-caption"]Msaidizi wa Askofu la EAGT Asumwisye Mwaisabila mwenye mvi ambaye ameachiwa kanisa la EAGT akiongoza mamia ya waombolezaji [/TD]

[TD="class: tr-caption"]Jeneza lenye mwili wa Askofu Dr Moses Kulola

[/TD]

Gospel Kitaa™: SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOPO MSIBANI EAGT TEMEKE (Sehemu ya Kwanza)

Gospel Kitaa™: MAASKOFU NA WACHUNGAJI WAONGOZA MAMIA KUOMBOLEZA KIFO CHA KULOLA KANISANI TEMEKE

Gospel Kitaa™: USIA WA ASKOFU MOSES KULOLA KWA WAKRISTO NCHINI

Zoezi la kuaga mwili lasitishwa kwa muda kutokana na umati wa watu uliofurika eneo hilo.

Gospel Kitaa™: MAFURIKO YA WATU, ZOEZI LA KUAGA LASITISHWA KWA MUDA
Mkuu nimesoma kidogo na hayo maneno aliyoongea Mangula ndio yameniacha hoi kwa huo Mwaka

Phillip Mangula (makamu m/kiti wa CCM bara)
Moses nimeanza kumfahamu 8 /8/1083 nikiwa mkuu wa wilaya ya Kwimba, kipindi kile mtakumbuka kulikuwa n tofauti kidogo ndani ya kanisa, barua iliandikwa nchi nzima ya kuzuia Moses Kulola asihubiri kwa jina la kanisa, na mi niliipata kwangu.

Nikamweleza Moses Kulola, akaniambia, kijana wangu, mimi sitahubiri kwa jina la kanisa lolote, nitahubiri kwa jina la Yesu.
 
Mkuu nimesoma kidogo na hayo maneno aliyoongea Mangula ndio yameniacha hoi kwa huo Mwaka

Phillip Mangula (makamu m/kiti wa CCM bara)
Moses nimeanza kumfahamu 8 /8/1083 nikiwa mkuu wa wilaya ya Kwimba, .

Mwe Mwe, hakika muda huo sijui dunia ikoje hata.
Nashukuru kwa 'ku-spot' hiyo typing error mkuu. Ni 1983
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Jeneza lenye mwili wa Askofu Moses Kulola[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wachungaji wakijipanga kuusubiri mwili wa Marehemu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mmoja ya watoto wa kiume wa Marehemu akilia kwa uchungu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Baadhi ya ndugu katika ibada ya kumwaga[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Baadhi ya wachungaji[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Askofu Sylevester Gamanywa akimfariji mke wa marehemu Dr Moses Kulola[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Msaidizi wa Askofu la EAGT Asumwisye Mwaisabila mwenye mvi ambaye ameachiwa kanisa la EAGT akiongoza mamia ya waombolezaji [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

​

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Jeneza lenye mwili wa Askofu Dr Moses Kulola

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nilimuona Moses Kulola akiwa mchungaji mwaka 1974 huko Mbeya katika Kanisa la Assemblies of God pale soko Matola ,nilikuwa nasoma shule ya msingi Itiji darasa la nne.
Nakumbuka tukiwa shule kuna mwenzetu alikuwa na matatizo ya masikio na tukamshauri kwenda naye ktk maombezi ya uponyaji katika kiwanja kilicho karibu na dampo kuelekea stendi kuu ya mabasi.
Tukiwa watoto wadogo tulikaa na kusikiliza mahubiri ya Mchungaji Moses Kulola na hatimaye ukafika wakati wa maombi,watu mbalimbali walikuja kwa shida mbalimbali na mwenzetu aliiingiza vidole masikioni kama alivyoamriwa maombezi yakiendelea,kwa mshangao mkubwa mwenzetu alipata uponyaji kamili na akawa anasikia vizuri na tangu hapo sikumsahau mtumishi wa Mungu Moses Kulola.Bwana Asifiwe!
 
Aina ya mahubiri yake [ambayo ni unique] nidyo yalinifanya nipende kuhudhuria mikutano yake hapa dar ingawa mimi siyo muumini wa dini hiyo.
Huyu alikuwa genuine hakua na makuu na mungu alimpa kipaji cha kuhubiri injili bila mfanowe hapa tz.
Yeye ni mfano wa mtumishi wa mungu anavyopasa kuwa na sijawahi kusikia kashfa yoyote ile dhidi yake ukiondoa katika kile kipindi alichokuwa anapigwa vita. Leo hii matunda yake ni EAGT.
 
Alivunja Agano la Mungu la Kuabudu siku ya Sabato mpaka kifo kimemkuta bila kutimiza Agano la Mungu hata Yesu ilikuwa ni Desturi yake kuitunza Sabato hadi kifo chake.

Huyu Mzee amepotosha wengi sana
 
Sijapenda maoni yako...Hata biblia inasema usihukumu ili nawe usihukumiwe..Yule Jambazi aliesamehewa pale mtini alitunza sabato ipi?
 
Kwangu mimi huyu ndo alikuwa mtume wa kweli kwa Tanzania (Tofauti na mitume wa sasa wanang'ang'ania kuhubiri utajiri badala ya kuwakumbusha watu duniani tunapita), kwani alihubiri katika tabu na mateso makubwa, matunda yake tunayaona sasa. Mwisho wa Safari yako duniani imefika, kapumzike kwa amani Mpendwa wangu Moses Kulola. Daima ntakukumbuka haswa lile somo lako la dhiki kuu.
 
Sijapenda maoni yako...Hata biblia inasema usihukumu ili nawe usihukumiwe..Yule Jambazi aliesamehewa pale mtini alitunza sabato ipi?
Kama hujapenda hayo niliyoongea ni Maagano ya Mwenyezi Mungu kwa Wanadamu ukimuonea haya binadamu mwenzio hakika utapotea..... usihofie Dead body kulola ni Udongo tu keshatangulia.... Yesu aliwaambia msinililie mimi bali jililie wewe mwenyewe..... Yule Jambazi alikuwa ni myahudi na alitunza Sabato elewa Wayahudi akiwemo Yesu walitunza Sabato..... wizi ni ni Tabia nenda hata leo Israel utaitunza Sabato bila kupenda.... hiyo imeandikwa Usifanye kazi yeyote wewe au mwana wako au mjakazi wako uikumbuke na kuitakasa kwani ni Sabato ya Mungu wako.....yeye Mungu huwa anapumzika Siku ya Sabato....

Mimi Sijahukumu ila kama u mwelevu na umesoma biblia matukio yote yaliyotokea na yanayotokea na yatakayotokea yeshaandikwa kwenye Biblia wewe nakuomba usome vizuri utaelewa kuwa huyu ni wa motoni au huyu ni Mbinguni..... wajua hata yule Tajiri aliyeambiwa agawe malizake zote aliulizwa je Unazishika amri za Mungu? akasema tokea Utotoni mwake basi akaambiwa na Yesu akauze mali zake zote awape Maskini kisha amfuate... Akaona mmmh! hapo na wewe huwezi pata picha kama jamaa ataenda mbinguni au Motoni?

Kulola hakutii Agano la Mungu la kuitunza Sabato.... Maswali kama yako Yesu aliulizwa akawaambia amekuja kuitimiliza Torati.... hata Waislam wanaitii Torati ujue hilo.... japo wanahistoria wamejaribu sana kuipotosha na waliwapata wengi.... Soma mkuu upate ufahamu fresh..... utajua tu huyu ni wa Motoni au Mbinguni.... Mbinguni hawaingii Wachafu
 
Utabaki gizani mpaka lini?
Alivunja Agano la Mungu la Kuabudu siku ya Sabato mpaka kifo kimemkuta bila kutimiza Agano la Mungu hata Yesu ilikuwa ni Desturi yake kuitunza Sabato hadi kifo chake.

Huyu Mzee amepotosha wengi sana
 
Alivunja Agano la Mungu la Kuabudu siku ya Sabato mpaka kifo kimemkuta bila kutimiza Agano la Mungu hata Yesu ilikuwa ni Desturi yake kuitunza Sabato hadi kifo chake.

Huyu Mzee amepotosha wengi sana
Ewe msukule wa dini inayoabudu siku badala ya Mungu wewe ndiye uliyepotoshwa
 
Shetani alivyowashika na hatowaacha na mtafia hivyo hivyo huku mkiwa mmevunja maagano ya Mungu aliye hai poleni sana..... kwa kuwa ukweli umshaujua nishanawa maji mikono yangu juu yenu... ila mnaweza utafuta ukweli nyie wenyewe mkiona maisha yanawaendea kombo ndipo mtakumbuka maneno ya Mungu aliyoagiza na sio warumi wapotoshaji.

Siabudu siku bali namuabudu Mungu aliye hai na jinsi alivyofundisha jinsi ya Kumuabudu hata Yesu alifuata na kufundisha alithibitisha kuwa hakuja kutengua torati... ila nyie na huyu dead body kulola mpo njia moja....
 
Utabaki gizani mpaka lini?

Sipo kigazi na wala sitokaa Gizani Biblia ndio inayoniongoza na si vinginevyo..... wewe huo mwanga unaupatia kwa Shetani wako nadhani
 
Kuna watu wana mbwembwe mtu anaquote mpaka picha jamani khaa tena zote!
RIP Askofu maana yeye aliyekuleta duniani ameamua kukutwaa.Amen
 
Nilimuona Moses Kulola akiwa mchungaji mwaka 1974 huko Mbeya katika Kanisa la Assemblies of God pale soko Matola ,nilikuwa nasoma shule ya msingi Itiji darasa la nne.
Nakumbuka tukiwa shule kuna mwenzetu alikuwa na matatizo ya masikio na tukamshauri kwenda naye ktk maombezi ya uponyaji katika kiwanja kilicho karibu na dampo kuelekea stendi kuu ya mabasi.
Tukiwa watoto wadogo tulikaa na kusikiliza mahubiri ya Mchungaji Moses Kulola na hatimaye ukafika wakati wa maombi,watu mbalimbali walikuja kwa shida mbalimbali na mwenzetu aliiingiza vidole masikioni kama alivyoamriwa maombezi yakiendelea,kwa mshangao mkubwa mwenzetu alipata uponyaji kamili na akawa anasikia vizuri na tangu hapo sikumsahau mtumishi wa Mungu Moses Kulola.Bwana Asifiwe!

Amina
Bwana yu mwema sana.
 
Marehemu alipendwa ila Mungu kampenda zaidi.
 
Back
Top Bottom