Huwa unajisifu kwa akili ambazo huna lakini kuwa na staha ya kawaida tu.. Likes zinaishia jf ila ulichokifanya wala hakitobagua kuwa ID ni fake au real.. Mungu akusamehe lakini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Thanks much numby but I didn't even notice kama uliniquote..
If yo can give me dem million deals naeza kukutafuta tusaini zile documented papers, women empower women au sio... Enjoy yo trolling ..much love to ya
Ila jiamini sawaaa... Iheshimu kazi inayokupa kipato na pengine kuwa proud lakini usisahau kuwa proud na mtu unayetaka kuwa kuliko uliye sasa hivi.. After all maisha ni future sio present japo present ndo yatengeneza future.. Kaushauri thou najua unachangamsha genge[emoji4] [emoji4] [emoji4]...
Kwa hiyo kuwa maskini ndo kuwa real.. Af wenye akili kama yako huwa hawana gari, nyumba, elimu ya maana au hata ghetto LA maana..
Pambana na hali tu ila usisahau kuplay song la card b I like it ...
Hongera kwa kuongeza mwaka in JF and more digits in your bank account coz of dat sawa dearest...
Hope umeelewa kila nilichoandika and hope you won't post a forest of words but a desert of points again..
Hahaaaaa maskini go and get a life ..sio kuwa nakufuatilia ila unaforce kujulikana maana katika kila thread ni lazma ujioneshe kuwa unajua kuliko wengine na matusi juu... JF ni kama street tu yaani yule gal mmpenda attention mtamjua tu na kuna wale wapo na issue zao disminders kama mzigua hawana...
Ni kweli dearest... Hata ya Bridgitte nakumbuka ilihusiana na kujenga centre ya kuwanusuru maalbino na alikuwa ashaanza yaani sio mchezo
Miss Kenya idah wa 2015 nadhani project yake ilishinda maana ilihusiana na kuwaokoa watu na janga LA minyoo huko rural Kenya
Punic button of whom one... Just enjoy your own stupidity my dear and then get back to yo slum house... Yo good in IG not in JF tena nenda kamdefend that old cougar and whore from UG coz that's what yo best at doing ila mambo ya analysis kaa pembeni..empty headed gal who likes...
Yeap ndo huyo huyo ..Rolenne aliiteka dunia na kila mtu alimpenda na ile nyonyo ya kiafrika.. Miss India wa last year alikuwa si mchezo yaani beauty with purpose project ilipita bila kupingwa ,chezea kutoa service kwa vijiji zaidi ya buku huku na yeye ni student wa udaktari
Sio kila mwaka wanacheza chezo ..kuna miaka kweli unakuta mshiriki alistahili kama miss India wa mwaka Jana ila ukiangalia mwaka juzi utachoka.. Ukija kwa miss S.A Rolenne alistahili mwaka wake, Megan yang miss phillipines pia na hakuna aliyepinga ila tatizo ukiwa na vigezo AF zamu ya Bara lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.