Recent content by Miss Iron

  1. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  2. M

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    naomba kuuliza kwa nini hawa wa ethiopian mara zote huwa wanakamatwa wakielekea south Africa na siyo kwingineko...?kuna siri ipi uko south Africa
  3. M

    Wizara ya Afya mnaijua Hospitali hii?

    wacha watu wajiajili....mjini kunahitajika pesa
  4. M

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    poleni.... kama alichelewa huyo mtoto anhitaji special needs....Fanya matibabu ya hospital... Atakuwa sawa..
  5. M

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    kama mmefanya CT scan na haijaonyesha tatizo.... Binafsi nashauri ufanye EEG kama mdau alivyokuuliza hapo juu...I am confident enough EEG itakuwa na majibu yote... Nina swali kwako...Je wakati wa kujifungua mtoto alilia ama alichelewa kulia?.. Ushauri wa mwisho usijisumbue kumpeleka kwa...
  6. M

    Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Nimekucheck pm mkuu
  7. M

    Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    asanteh kwa ushauri
  8. M

    Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  9. M

    Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

    kila la kheri kaka
Back
Top Bottom