Mfanyabiashara raia wa Uingereza na Nigeria, pamoja na influencer wa mitandao ya kijamii ambaye pia ni rafiki wa Davido, Igho Tiny Ubiribo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kufanyiwa utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume akiwa nchini Thailand.
Kwa mujibu wa taarifa...
Mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha tarehe 2 Septemba 2026 yanaonesha kuimarika kidogo kwa Shilingi ya Tanzania (TZS) dhidi ya Dola ya Marekani (USD) na Rand ya Afrika Kusini (ZAR).
Viwango vya Mabadilishano (NMB)
Dola ya Marekani (USD): Bei ya kununua imeshuka hadi Sh2,590 (kutoka...
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya tukio kubwa la kimasoko baada ya kumtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zao mpya zitakazotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/2027.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi na kurejea katika bei nafuu ya awali.
Ndejembi ametoa agizo hilo jana jijini...
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na kuimarisha mafunzo ya ufundi ili kuwapa vijana uwezo wa kushiriki kikamilifu katika soko la ajira.
Akizungumza Septemba 02, 2026 jijini Dodoma na Balozi...
Msanii wa Bongo Flava, YJ Kiboko, ameibuka na kufunguka kuhusu taharuki inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha yeye na aliyekuwa mke au mpenzi wake, Chanuo.
YJ Kiboko ameeleza kuwa amekuwa akipokea simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakimuuliza kuhusu maneno na matusi...
Mwanamuziki Christian "King" Combs, mtoto wa rapa na mfanyabiashara maarufu Sean "Diddy" Combs, ametoa ombi la wazi akitaka baba yake aachiwe huru kutoka gerezani .
Akiwa kwenye 'live stream' na mtayarishaji wa maudhui DDG, Christian aliangalia kwenye kamera na kurudia maneno "Free Puff" mara...
Mtangazaji na mwanahabari wa burudani, Maimatha, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kutoa madai na maelezo kuhusiana na uhusiano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na mnenguaji wake, Ashurey Rwanda.
Katika maelezo hayo yaliyowekwa kwenye chaneli ya 2GETHER online, Maimatha amedai kuwepo...
Mambo mapya yameibuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya aliyekuwa mwanahabari wa burudani, Carry Mastory, kuzungumzia sakata linalomuhusu mwanamitindo Hamisa Mobetto na kuvujisha sauti (voice note) inayohusu utambulisho wa baba mzazi wa mtoto wake, Dylan .
Katika maelezo hayo, Hamisa Mobetto...
Msanii wa Bongo Fleva, @mauasama ametangaza kujifungua mtoto wa kike, akifichua habari hiyo kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii.
Maua Sama amemkaribisha duniani mtoto huyo huku akieleza kuwa ujio wake umeleta furaha na baraka kubwa katika maisha yake.
“Welcome to the World...
Timu ya taifa ya Uganda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ‘Kobs’, imejitoa kwenye mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana weny umri chini ya miaka 23 (AFCON U23) 2027.
Uamuzi huo umekuja baada ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) kushindwa kupata fedha za kutosha...
Kumekuwa na madai yanayosambaa kuwa wanyama wa kufugwa kama paka na mbwa wanaweza kuwa na mzio (allergy) dhidi ya binadamu, hali inayodaiwa kusababishwa na mwili wa mnyama kuitikia kwa njia isiyo ya kawaida baadhi ya vitu vinavyopatikana kwa binadamu, kama vile chembechembe za ngozi, jasho au...
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter).
Katika chapisho hilo, Jenerali Muhoozi alitangaza kuwa wanaume wanaoshindwa kuvuka...
Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,.
Wameeleza kuwa madai...
Chaneyo kikuu cha timbwili hilo kilikuwa ni mashambulizi binafsi kuhusu umiliki wa mali na masuala ya afya, ambapo wawili hao walirushiana maneno mazito na kutaka kuingia katika ugomvi wa kimwili.
Katika upande wa umiliki wa nyumba, Mwijaku alimkabili Dotto Magari na kuhoji ukweli wa ghorofa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.