Recent content by Miss Bantu

  1. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ayesha Curry: Kwanini sitongozwi?

    Mme wake atakua hampi maneno mazuri, mpaka anamiss kutongozwa
  2. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya hewa ya Dar single tunapitia watat mgumu

    Kibaridi kidogo wanalalamika... wangeenda kukaa huko
  3. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Live sex shows kwa wazungu

    Hivi vitu visifike kwetu... mapenzi inabidi kuwa faragha
  4. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiukweli Wanaume tuna shida na ndio tunaoongoza dhambi ya kutamani

    Ameen...
  5. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuongeza nguvu za kiume yachochea wizi wa punda Afrika Mashariki

    Wanaume bana... wamemaliza mayai ya kwale wanataka kumaliza na punda
  6. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kukaribisha ukaribu kati ya mwenza wako na rafiki yako

    Hahha mi naona hamna tofauti.. zaidi atakuwa kakuonyesha marafiki wanafiki
  7. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kukaribisha ukaribu kati ya mwenza wako na rafiki yako

    Ila mwanaume hachungwi... hata asipomuona rafiki yako, atawaona wengine!!! Kikubwa kuaminiana tu
  8. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Uhamisho Wa Mtumishi Wa umma aliyepata ajira kupitia Secretariat utmishi

    Mkuu kwenye hiyo barua ya uhamisho utayoandika kwa katibu mkuu.. inachukua maximum muda gani mpka kujibiwa kama postive au negative!??
  9. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

    Efm/tve -- Makonda -- Mlezi WCB Hapo naanza kuona clouds wanavyopelekeshwa
  10. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kupata mke au mume kutoka mitandaoni

    Mtakuwa mnajistukia mkiulizwa how did you two meet... it's awkward by the way!!!
  11. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania 4H Tanga wakati mwingine msitutangazie ajira zenu

    Bora nyie mmekula na kulala bure, chukulia kama vacation tu!!! Wenzio wanachoma hela, muda na resources kwa mambo hayo ya ajabu
  12. Miss Bantu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna usemi wanawake wanao eti "nilianza nae chini/nilimkuta hana kitu" then what?

    Ila wanaume wengi wanaheshimu wanawake wao waliowavumilia kuliko wale wakuokoteza baada ya mafanikio....
  13. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Fursa 26 za Ajira TAKUKURU 2017

  14. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Current Location: Special Thread

    Its Monday [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
  15. Miss Bantu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoani wakija mjini wanakuwa kituko tu

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anapambana na hali yake
Back
Top Bottom