Uhamisho Wa Mtumishi Wa umma aliyepata ajira kupitia Secretariat utmishi

shsh

Member
Nov 30, 2017
41
34
Wadau Heri ya mwaka Mpya
Naomba muongozo juu ya uhamisho na mdogo wangu aliyekuwa ameajiriwa miaka minne iliyopita serikalini mwaka huu ameomba Tena nafasi kupitia utumishi na amepata vilevile alipitisha barua Kwa mwajiri wake Naomba mnisaidie muongozo kabla hajaenda kuripot kituo kipya
 
Azingatie mambo haya matatu:

1. Kwanza kanuni za utumishi wa umma hazimruhusu mtumishi kuomba nafasi nyingine ya kazi (serikalini). Endapo atataka kufanya hivyo basi ni sharti barua yake ya maombi (job application letter) ipitie (U.F.S) kwa mwajiri wake. KWANINI? kwasababu mwajiri wake huyo anapaswa kujua na kuridhia hilo kwakua ndiye atakayehusika kurihusu (kupitisha barua ya) uhamisho endapo ataoata kazi.

2. Endapo ameomba kazi kwa utaratibu nilioueleza hapo kwenye namba 1 juu na amefaulu usaili/ameitwa kazini; mtunishi huyo aombe ruhusa ya siku 2 au 3 na aende kwa mwajiri wake mpya (kinyemela) ili akapate mkataba wa kazi/ barua ya kazi (yaani aripoti) kisha arudi kwa mwajiri wake wa awali na ile barua/mkataba akaombe uhamisho.

3. Mtumishi huyo arudipo ofisini aandike KWA KATIBU MKUU -UTUMISHI barua ya kuomba uhamisho, barua hiyo ipitie (U.F.S/K.K) kwa mwajiri wake wa sasa akiambatanisha barua ya ajira yake mpya au mkataba. Nashauri aeleze kwamba anahama KWA SABABU BINAFSI lakini lengo likiwa ni kuitumikia serikali ili kuketa tija.

Kisha endelea kusubiri majibu ya uhamisho wako (fuatilia).

KAMA ULIPITISHIA APPLICATION & KUOMBA UHAMISHO KWA MWAJIRI WAKO LAZIMA UTAKUBALIWA HIVYO UNAWEZA KUOMBA LIKIZO WAKATI UNAENDELEA NA KAZI KWA MWAJIRI MPYA.

NB:
Usiandike barua ya kuacha kazi (resignation). Kama uhamisho ukigoma acha endelea na ajira yako.

Wengine watajazia

Kilambimkwidu
 
Mkuu umemaliza kila kitu haina haja ya kujazia
 
Mkuu kwenye hiyo barua ya uhamisho utayoandika kwa katibu mkuu.. inachukua maximum muda gani mpka kujibiwa kama postive au negative!??
 
Skumbuki vzuri, but ukitembelea Mkataba wa Huduma kwa Mteja (Service Level Agreement) ya pale UTUMISHI idara ya Establishment (DE) nje tu kuna ujumbe huo, ....
Nafkir ni siku 21 kama skosei
 
Asante Kwa ushauri
 
Ufafanuzi mzuri na Umeeleweka
 
Skumbuki vzuri, but ukitembelea Mkataba wa Huduma kwa Mteja (Service Level Agreement) ya pale UTUMISHI idara ya Establishment (DE) nje tu kuna ujumbe huo, ....
Nafkir ni siku 21 kama skosei
Wanasema siku 21 lkn Mimi Nimeomba tangu Oktoba hadi sasa hawajibu. Naendelea kusubiri
 
Back
Top Bottom