Recent content by misozi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ang'ara kwenye Sekta ya Kilimo. Hongera sana CCM

    Wakipinga kila kitu inakuuma nini. Si na wewe uunge mkono kila kitu ili ngoma iwe draw ebo!
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu wa kwanza CCM kukiwa kumepooza, wapinzani wachangamka dakika za majeruhi

    Sijaelewa ulichoandika hapa. Yaani aya nzima haioneshi ujumbe wowote unaoukusudia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Salaam za Mhe. Freeman Mbowe msiba wa Rais Mstaafu Mkapa

    Sasa unamuuliza nani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

    Acha ubashiri mbuzi. Yaani mke amefariki kwa hiyo ulitaka maisha yasimame? Mawazo ya kishirikina kama haya taabu tupu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Watabaki na heshima zao hata kama wakishindwa. Hao wengine laana ya usaliti itatawala mioyo yao daima.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Msimsahau aliyekuwa meya wa Arusha kisha akaunga juhudi, naye chaaaaaaaali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefika Tanzania. Haya ndio niliyojionea mpaka dakika hii

    Haiondoi ukweli kwamba umetumia neno la kihuni na kijuha kwelikweli. Eti " hiko" ulipaswa ujionee aibu mwenyewe kabla.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Daudi Albert Bashite sasa utaenda kumlilia nani?

    Hii ni moja ya kauli za kizembe na kijuha kuwahi kutokea duniani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefika Tanzania. Haya ndio niliyojionea mpaka dakika hii

    Ona huyu naye eti "hiko" ndio mdudu gani huyu. Unajisikiaje kuandika vineno vya kihunihuni huku ukijua neno lililo sahihi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za choo cha kukaa na jinsi ya kukabiliana nazo

    Hebu acha uhuni bhana, sasa neno "hiko" ndio kitu gani. Mnakera sana ninyi wachafuzi wa lugha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za choo cha kukaa na jinsi ya kukabiliana nazo

    Kama hukukaa lazima uliacha umechafua kingo za choo wewe. Shida ni kwa aliyekuja baada yako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Wewe maisha mafupi haya. Kama nafsi yake inasuuzika wacha afanye. Ni njia mojawapo ya kuepusha nafsi na misongo ya mawazo isiyohitajika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Wewe maisha mafupi haya. Kama nafsi yake inasuuzika wacha afanye. Ni njia mojawapo ya kuepusha nafsi na misongo ya mawazo isiyohitajika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitenge ana shughuli gani Marekani?

    Wewe maisha mafupi haya. Kama nafsi yake inasuuzika wacha afanye. Ni njia mojawapo ya kuepusha nafsi na misongo ya mawazo isiyohitajika.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada napata maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa

    Mijitu kama hii bwana, mtu ana tatizo wewe unaamka na vitu vya kutia kichefuchefu watu.
Back
Top Bottom