Leo pia tiketi hazitoki. Ukishamaliza kuchagua behewa na siti ili upate control number kwa ajili ya kulipia, inakwamia hapohapo haiendi tena hata ukisubiri masaa hakuna kitu!!
Shukrani na hongera sana kwa kuanzisha huu uzi. Nikiwa na mzigo china, say machinery uko tayari kwa kuchukuliwa kutoka kiwandani, na unatosha kabisa kujaza kontena. Je shipping agent wa hapa TZ anaweza kutuma contena kiwandani kwenda kuuchukua na kuusafirisha kuja TZ, au mi ndo mwenye wajibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.