Naomba mnifahamishe bei ya jumla jumla ya nondo yaan kwa tani

Benjamin mathayo

Senior Member
Mar 6, 2016
112
29
Wadau mnaofanya biashara ya nondo na cement naomba mnifahamishe bei ya nondo ya jumla yaan kwa tani pia bei ya cement ya jumla
 
Wadau mnaofanya biashara ya nondo na cement naomba mnifahamishe bei ya nondo ya jumla yaan kwa tani pia bei ya cement ya jumla
kamaka ipo Mbele ya tabata relini pale ofisi za Azam TV wana nondo nzuri na imara

16mm na 12mm tani moja ni 1.7M, 8mm tani moja ni 1.5M
 
Asante sana kiongozi lkn pia naomba mwenye uelewa zaidi naomba anieleweshe vizuri tani moja ya nondo inakuwa na pc ngapi
 
kamaka ipo Mbele ya tabata relini pale ofisi za Azam TV wana nondo nzuri na imara

16mm na 12mm tani moja ni 1.7M, 8mm tani moja ni 1.5M
Mbona hii ni bei ya reja reja? Nondo ya ml16 moja inauzwa 16000 ukinunua kwa bei hii kwa tani ni hasara kubwa sana. Mi nipo kibaha jiran na kiwanda cha nondo na nafanya biashara hii t,I moja ni 1350000=

Duc in Altum
 
Vipi kwa upande wa Mwanza, bei zikoje kwa sasa (8mm, 12mm na 16mm) kwa tani moja?
 
Back
Top Bottom