Muuza Machungwa

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
202
69
mm.jpg
 
Hii inaweza kua Nigeria!!! Wazee wabunifu saana kwenye biashara!!! Na ukute hapo mdada ana degree yake na kufanya hivyo anavutia wanaotaka kuajili wachapakazi na wanaothamini kazi zao. Kuna mkaka alikua anauza vinywaji barabarani huku katinga suti na tai na kiatu... Ndo alipopata kazi na kwenda moja kwa moja kua meneja
 
Hapo inawezekana ukapata machungwa na vingine pia ubunifu mzuri huo.
 
Back
Top Bottom