mkandaboy
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 257
- 89
- Thread starter
- #21
Mie nilinunua Good Year toka Mlimani City. Bei zao ni reasonable, nilichukuza za size 195/70R15 kwa 120,000/-. Ni nzuri, nimepiga nazo mkoa several times. Bora ukanunua matairi mazuri has kama una safari za mbali ambazo zitakuhitaji kwenda above 120 Kph, zitakuepusha na matatizo.
....Thanks for info Idimi. Hiyo bei ni nzuri kiukweli. Ulinunua mwaka gani? ns specifically sehemu gani ya mlimani city, au kuna agent wa goodyear pale?