Recent content by Misa ya pili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Hospitali maalum ya watoto inayoitwa Rainbow kujengwa Tanzania

    ''hata hivyo, amewaomba watanzania kutokutishika na jina hilo kwani halina maana mbaya''. Hili nalo litapita tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

    huyu si ndio mshauri wa mahaba sijui hivi vitoto vinajua ndoa ni kuliwa mbususu tu unaondoka alafu unaandika mitandaoni vitoto vijinga kabisa kesho utasikia kimekua mtetezi wa haki za wanawake ,nyie vizazi vya mitandao ya kijamii itachukua karne nzima kujua mmearibiwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    mi nadhani yeye alitakiwa ajivunie kuona watu wanazungumza kiswahili kwakua ndio lugha ya africa kwa sasa sasa anazunguzia lugha mbona waarabu awajui kingereza na wamepiga hatua kubwa sana hao ndio watalii wa mchongo wa LGBTQ
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna anacholeta kwenye haya mahusiano zaidi ya ngono

    unataka atoe figo tafuta mwingine huyo kapata anayefungua pochi zaidi yako anamtumzia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

    kuna picha naiona hapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Furaha yangu ya Yanga kuchukua kombe imekatishwa na kauli tata ya kocha msaidizi Cedric kaze

    NALIA NGWENA utalia kweli sasa na utaimba iyena iyena mama we nalia ngwena :D:D:D:D
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    kwa sasa napongeza uamuzi huu kwa maslai mapana ya nchi yetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    mlishaambiwa msijitoleee mmechagua kua cheap basi mtabaki kua cheap
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    mama samia juu hapo kakwambia kulikua na shida ya mtandao tatizo vitoto vyake vibishi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    we jamaa au unafanya kazi zimbabwe?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    tukutane misa ya pili mapema tu 😂 😂 😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    CRDB we cheki muamala acha kusubiri sms
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    tayariiiii ebu tukamwagilie moyo kidogo acheni makasiliko hayo
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    mi nadhani pia mtoa huzi kitaaluma zaidi pia ilibidi umsaidie huyo daktari kumueleza juu ya umuhimu wa physical examination haswa kwa wagonjwa wenye complain ya shida ya moyo na mapafu kwanza alafu ndio uje kuongea jf lakini pale umeshindwa kumsaidia unakuja kuongea hapa je tatizo ni nani sasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Pesa ni kilainishi

    Dah kwihiyo umetimiza ndoto ?? Ama kweli kila mtu na ndoto zake kwhy umeoa na unawatoto ila ndoto yako ilikua hiyo karumekenge :D:D:D:D
Back
Top Bottom