Tatizo huyu jamaa alipuuzia dalili za awali kabla hajamuoa, zilishaonesha huyu siyo mke bali mdangaji, lakn aliamini ndoa itambadilisha, oyaa! unapooa mtu ina maana umekubaliana kuishi nae kwa madhaifu yake yote na tabia zake, tena kwenye ndoa watu ndio huachiaga makucha yao yote.. Dalili ya...
Ach
a ubahili, yawezekana kila akikuomba ela mizungusho sana na pia labda humpi, yaan hiyo elfu 50000 ndio ikufanye ufike kwao!, mwana tafuta ela😂 elfu 50 haiwezi kuvunja penzi kirahisi hivyo labda kama una yako mengine
Mkija kukosa wanaume wa kuwaoa baadae mnaanza kulalamika, unakuta tako huna sura nzuri huna, mguu huna, unategemea umebakisha nn kama siyo matiti tu, watoto mvumilie kuangaliwa popote😂
We umedandia choo cha kike,[emoji1] yaan demu wako mwenyew ndio anakuonyesha tako la mwanamke mwenzie aisee huna demu hapo upo na mwanaume mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.