Asipojua kilichomwangusha,ataendelea kuanguka tena na tena.Watu wengi walishajaribu kuivuruga Tz lakini hawajawahi kufanikiwa.There is more than human effort.
Is Tanzania's peace man made? How did it manage to survive many coups,how has it managed to escape internal conflicts for all these years?,how did it defeat Uganda during the war,how has it managed to handover power peacefully for all these years?How did it survive chaos during 2015 general...
Ila maaskofu Nadhani mmeingia kwenye mtego.Biblia inasema kushindana kwetu si kwa damu na nyama bali ni juu ya pepo wachafu na nguvu za giza.Mi Nadhani sasa mnapambana kibinadamu.Mnasahau mna nguvu kuu itokayo mbinguni.Mbele ya Mungu hakuna kinachoshindikana.Kwa sasa mi naona mtashindwa ktk...
Maaskofu wa KKKT wametoa waraka mzuri sana kuhusu nchi yetu.Naamini walichoongea wamekipata toka kwa Mwenyezi Mungu.Hatari ni kama ujumbe huo umetokana na matakwa yao.Mungu hadhihakiwi.Mungu yuko Hai.Mungu hutoa mapigo kwa wale wanaolitumia jina lake kwa manufaa yao.Naamini mnamkumbuka Baalamu...
Kunyimwa fedha za MCC ni zaidi ya uchaguzi Znz na sheria ya mitandao. Hii ni vita baridi China vs Marekani.
Marekani iliiona Tz ndiye rafiki mkubwa Afrika Mash.tangu iachane na ujamaa na kukumbatia utandawazi na siasa ya vyama vingi ambazo ndizo Sera za Marekani.Ndiyo maana kila rais wa...
Marekani haina uchaguzi Bali watalazimika kuipenda Tanzania kama wanavyoikumbatia Israel.Chili no Taifa la Mungu.Ni Taifa la with we ye nguvu wakanyagao watu.Soma Isaya 18.Taifa chili limekuwa kimbilio LA mataifa jirani yanapoingia kwenye migogoro,lilikuwa kituo kikuu cha wapigania Uhuru...
Ama kweli mwaka huu huu mambo.Wafanyabiashara Mtwara tuliokubali kufunga maduka kila mtu amelipwa Mara 3 ya anachouza kwa siku.Hivi Lowassa anapata wapi pesa?
Lakini kweli ukanda nao unafanya kazi.Mi nilitegemea mzee Lembeli angepewa nafasi ya kugombea urais.Mzee huyu chapakazi,mpambanaji dhidi ya ufisadi.Hakupewa nafasi hiyo badala yake akapewa Lowassa kisa tu anatoka kaskazini.Naamini hata Msuya naye anabembelezwa ahamie huko.Au ndiyo Chaga empire...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.