Kunyimwa fedha za MCC ni zaidi ya uchaguzi Znz na sheria ya mitandao. Hii ni vita baridi China vs Marekani.
Marekani iliiona Tz ndiye rafiki mkubwa Afrika Mash.tangu iachane na ujamaa na kukumbatia utandawazi na siasa ya vyama vingi ambazo ndizo Sera za Marekani.Ndiyo maana kila rais wa Marekani alipochaguliwa,alitembelea Tz. Afrika magh ni Ghana.Nchi hizi 2 ni kielelezo cha mafanikio ya Sera za Marekani ktk Afrika.
Kuingia kwa China Tz kumeleta balaa hili. China inaihitaji Tz kibiashara zaidi.Iwe lango la bidhaa/malighafi zake ktk Afrika..Ndiyo maana inafadhili ujenzi wa Bandar ya Bagamoyo yenye thamani ya matrilioni ya sh na kubwa kuliko ukiunganisha bandari za Mombasa name Dsm.
Marekani imeshaanza kuona Tz inalalia kwa China.Upepo wa Marekani dalili zinaonekana utakuwa kwa Kenya.Ikiwa itakuwa hivyo,tutegemee Tz kuanza kupondwa na mashirika mengi ya kimataifa ambayo kimsingi yanamtii Marekani.
Juzi nikasikia mtu 1 toka mashirika hayo akisema Tz bado mbali sana kufikia uchumi was Kati,wakati hayo-hayo hapo nyuma walitusifia Kuwait bado kidogo tu.
Kwa hiyo wakati Magufuli anajidhatiti kutafuta suluhu Znz,asitarajie fedha za MCC zinarejeshwa kirahisi hivyo.
Je,wakati huu ndio wakati mwafaka wa kufufua NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE?