Unakaa mkoa gani labda tuanzie hapo..mfano kuna badhi ya maeneo maisha ni nafuu..hapo ndio nitajua pakuanzia....kuna vyanzo vya mapato tofauti na mshara ?
Hahaha Kuna mwamba tukonae,daily wimbo wa pai namna atakavyokuwa "young bilioner " tunasubiria Pi iteme na ana mpango wa kuacha kazi baada ya Pi kutema
Kama wabunge wameshindwa kubadilisha sifa ya mtu kugombea Ubunge kutoka kujua kusoma na kuandika, kuzungumuza kiswahili na kingereza ,ili sifa ya kugombra bunge kiwe na thamani.
Acha Msukuma awadhalilishe hao wabunge wasomi ,sheria za kuiba kuta wanabadilisha kila siku lkn sheria ya...
Nyie
Nyie mnatia huruma, sasa nyie mpewe nini mbadilike MMMBUNGE WENU NDIO WAZIRI WA UJENZI,NA KWAKWE NI MLAMLENI TU NA ANATUMIA HIYO NJIA AKIENDA KWAKE WAKATI WA KUOMBA KURA JAPOKUWA KWA SASA ATAKUWA ANAISHI OSTERBAY/MIKOCHENI/MBWENI
Mzee watanzania hawapendi ukweli.... Na ukisema ukweli wanakuona unaringa.. Umesema ukweli , Mimi kwa upande wangu nachukia maisha ya hovyo najua Kuna siku nitatoboa
Mawasilino na binamu
Mimi....Hongereni binamu kwa uchaguzi huko nyumbani.
Binamu....Asante ndugu yangu ,nilikuambia hatuwezi kukubali kutangaza mpizani hata kama ameshinda.
Binamu....Zengwe tulianza mapema hata kabla ya uchaguzi au huangali taarifa ya habari huko mjini.
Mimi....Nimewaona...
Mkuu Rais hana Malaka wa kumwodoa Ndungai..Ndungai ilikuwa aondolewe kama njia inayoendana na iliomtoa Gachagua...Bunge ndio wanamamlaka wa kumwondoa spika..hiyo inajulikana hata ka sisi tusiyosoma sheria..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.