Recent content by MIRICHE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenge wazindua mradi feki wa maji nanyumbu(ndwika]

    wananchi wa kijiji cha ndwika wilaya ya nanyumbu wameonja utapeli wa serikali baada ya mwenge wa UHURU kuzindua mradi wa maji kutoka mto ndwika na kupata maji hayo kwa siku hiyo ya uzinduzi tu basi.hadi sasa maji kijijini ni shida na wananchi wanaendelea kuteseka na kiu kubwa.generator...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwl. Matipanya wa sekondari ya kutwa Namalenga (Masasi) ni mwenyekiti wa UVCCM (W) ya Masasi

    Wakati serikali ya CCM wilaya ya Masasi ikiwachimba mkwara waalimu wilayani humu mwalimu taja hapo juu ni mwenyekiti wa umoja huo hapa Masasi na hakuna anaeyeji hilo. Mbaya zaidi amekuwa jeuri shuleni kwani aheshimu mkuu wake wa shule na kuwavunja moyo walimu wenzake kwa kuwabeza kwamba yeye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi za mabomu masasi utata mtupu

    ndugu wana JF, Naomba kwa mara ya kwanza niwahabarishe kile kinachoendelea kwenye Mahakama ya Wilaya Masasi,hususani kesi zinazohusiana na vurugu zilizotokea tareehe 26/01/2013,maarufu kama kesi za MABOMU.kwa kifupi vurugu hizo zilianzia kwenye kituo kikuu cha polisi hapa masasi,kati ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatarajiwayo - Uongozi CHADEMA 2013

    kwani mbona mnatumia nguvu nyingi kunadi zito?chama chetu kina utaratibu mzuri wa kupata viongozi,kwa sasa DR hana mpinzani mwacheni ajenge chama .mda ukifika kama ataonekana kupwaya basi atapewa mwingine na inawezekana asiwa zito,kwani kila mwanachama ana nafasi ya kuwa kiongozi endapo atakidhi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: MAGAFU avuliwa rasmi ukatibu - BAVICHA mkoa

    safi sanaaa jamani mkakati wa ccm ni kuvuruga chama kwa ktumia vipandikizi hivyo makamanda lazima tuwe macho na mgojwa huyu aliyetaabani akisubiri kufa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

    huku masasi watu wameanza kuichoka hii tv.tumebaki kuangalia marudio ya mpira tu basi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza kwachafuka: Machinga wawili wapigwa risasi za moto!

    wanalipiza kisasi tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Roho zinawauma CCM inavyozidi kujiimarisha kileleni

    anajifanya kipofu kumbe anaona
  9. M

    JamiiForums Tanzania M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

    sina dugital camera ila nitajitahidi niipate ili muweze kupata picha halisi isije ikaonekana kama ni danganya toto,si mnajua tena hadi tuuze korosho na bei zenyewe ndio hivyo sisiem wamechakachua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa ccm

    hamna jipya hapo
  11. M

    JamiiForums Tanzania M4c kata ya Lukuledi - Masasi yavunja rekodi

    M4C leo ipo kijiji cha Nambawala kata ya Lukuledi wilaya ya Masasi, tunafungua tawi katika kijiji hicho.Watu karibu 200 wamejiunga na CHADEMA sijapata kuona tangu nianze kazi ya kujenga chama ndani ya wilaya hii, sasa hivi tupo kwenye maandamano makubwa kuelekea sehemu ambapo tawi limejengwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba ya JK Kizota, Vyama vya upinzani haviko salama kuelekea uchaguzi 2015!

    wamechanganyikiwa na mabadiliko yanyoendelea,pia wanafanya kosa kufight with wrong enemy(cdm)wakati adui yao mkubwa ni mfumo na utendaji mbovu wa serikali yao
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    mkuu hapo nakupa mia kwa mia,hivyo vyombo viwili ni muhimu ili kuweza kupata taarifa sahihi za chama,pia kutakuwa na nafsi mzuri kwa wanachama kujua nini kinaendelea,kwa sasa hakuna njia sahihi ya mawasiliano kati chama kwa maana ya uongozi na wanachama
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kachezeshewa "chekundu cheusi"?

    nionavyo mimi na ukifuatilia mwenendo mzima wa mkutano wao utagundua kuwa ccm wamefanya umafia wa demokrasia,kwa sababu kwa mgawanyiko uliopo hutegemei mtu apate kura zote,waliamua kuficha aibu,kwa mfano mangula hata kwao hawampendi iweje kwa siku mbili tu abadilishe upepo?ukweli unabaki kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msajili, ifute CCM kuiokoa nchi kwenye janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe

    huyu mzee ni hatari kwa taifa,hapa anaonesha ni jinsi gani yeye ni kibaraka wa ccm
Back
Top Bottom