Recent content by miriam edward

  1. M

    Natafuta sarafu ya Shilingi 20

    Ninazo,tuwasiliane
  2. M

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Haaaaaaaah,,very interesting
  3. M

    Katuni ipi ni bora zaidi kwa Watoto wa Pre - School?

    Barney and friends,,from jimjam channel ya dstv,pia kuna free apps unaeza kudownload kwa ajili ya mtoto,kuna za wanyama,matunda,numbers,food and everything,uzuri wa hizi apps ni mtoto anafundishwa hata namna ya kutamka,
  4. M

    Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

    Yote ni ubatili na kujilisha upepo
  5. M

    Azam TV yabadili habari, yaajiri watangazaji wapya

    Ni kweli,,km hataitanua kwenye ving'amuzi vingine huo ubora hautaonekana kwa watanzania wengi wenye kutumia ving'amuzi tofauti na azam
  6. M

    Nini tofauti ya Petty cash, Cash sale, Invoice, Receipt na proforma?

    Na kuna kingine kinaitwa tax invoice,document unayopewa mara baada ya kuandikiwa proforma then ukakubaliana na zile bei then unataka kununua vile vitu but kwa mkopo mara nyingi na malipo hufanyika kwa cheque (si mara zote),,,na kuna kitu kinaitwa delivery note,,ni document inayoonyesha idadi ya...
  7. M

    Nini tofauti ya Petty cash, Cash sale, Invoice, Receipt na proforma?

    Petty cash ni cash inayotengwa na ofisi kwa ajili ya matumizi madogo madogo ya ofisi,cash sale mauzo yanayofanyika kwa kulipa fedha taslim na si kwa mkopo,,proforma invoice ni document inayoandikwa wakat unaenda kuuliza bei za vitu fulani,,kabla kufanya manunuzi,mara nyingi unaandikiwa km...
  8. M

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    Haaaaaaaah,,,kuhongana????mwee nimecheka sana
  9. M

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    Sausage bado zinaendelea,,,tena wanatengeneza Songea mjini na mbinga kwa sasa
  10. M

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    Simba wa Serengeti na wa Mikumi wote simba tu. Hiyo kazi ya kutofautisha mtafanya huko Kilimanjaro, sisi tunajua wachaga ni wachaga tu... Mbavu zangu mieeeeeee!!!uwiiiiiii!!!
  11. M

    Wakati viongozi wangu wanajiuliza kwa nini SHILINGI yetu inaporomoka, wanatakiwa pia kujiuliza haya:

    Hiyo thread imenifanya kuumia moyo,,imeniuma sana,,I pray to God this yr watz tufanye maamuzi yatakayo nufaisha vizazi vyetu vijavyo
  12. M

    Makato ya Mkopo Bank yanaumiza, Nawezaje kujitoa? Naomba ushauri

    Licha ya bank nyingi kuwa na interest kubwa,bt wao wanategemea unakopa kwa ajili ya kuinvest kwenye kitu ambacho kina profit/return ambayo to some extent itapunguza makali ya makato,tunachokosea watu ni unakopa personal loan,ambayo mara nyingi riba yake ni 20 percent,na muda wa marejesho ni...
  13. M

    Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Unakifahamu kiarabu chote enhee !!hongera!!na vyombo vya habari jana vilidanganya??nenda kafanye press conference uwaambie hakuna msikiti km huo tz
  14. M

    Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Ugaidi ni ushetani,,km unaua kwa kudanganywa eti umeifia dini na Mungu ndio utaiona pepo unapotea,,na kamwe hutaiona hiyo pepo,,coz hatufiki mbinguni kwa kuutoa uhai wa mtu asiye na hatia
Back
Top Bottom