Recent content by Miraji Y Saleh

  1. Miraji Y Saleh

    Maalim Seif aiandikia barua ZEC, kujitoa rasmi kwenye uchaguzi wa Machi 20

    Hakuna haja ya mgombea wa nafasi yeyote ile toka chama cha CUF wala umoja wa Ukawa kushiriki ktk uchaguzi huo. Hao viongozi wa vyama vingine nje ya Ukawa waache tu waendelee na harakati zao kwani hao ndio wslionunuliwa ili ionekane kama vyama vimekubali kushiriki uchaguzi huo . Pia hongela...
  2. Miraji Y Saleh

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Ni vigumu sana ktk nchi hii kufahamu kwa nini kuna Ewura na wanafanya kazi kwa manufaa ya nani hasa kwani kila siku kazi yao ni kukubali ongezeko la malipo ya Umeme. Maji na bidhaa nyingine lakini haijatokea mtu wa chini akatetewa na hao Ewura kupunguza bei hizo dhambi zilizofanywa na wezi wa...
  3. Miraji Y Saleh

    Jaji Warioba: Mchakato wa Katiba ukianza nitatoa ya Moyoni

    Mh Warioba wa Tanzania walikuthamini sana wakati ule ulipokuwa ukiipigania ile Katiba iliyopendekezwa na wananchi hata pale ulipofanyiwa fujo na DC Makonda walio wengi tulimlaani kijana huyu; lakini baada ya wewe kubadilika na kuipinga katiba ile uliyoitafuta kwa karibu miaka miwili na zaidi...
  4. Miraji Y Saleh

    Wahanga wa bomoabomoa: Heri ya Musa kuliko Firauni

    Sisi wengine tulisema zamani kuwa hiyo ni vinyo mpya ktk chupa ile ile ya zamani tukaambiwa kuwa hatupendi maendeleo sasa mtayaona mengi tu ya kushangaza yakifanyika ktk hawamu hii ya kazi tu
  5. Miraji Y Saleh

    Serikali kuuza asilimia 49 ya hisa zake inazomiliki kwenye TANESCO

    Haya ni mambo yanayohitaji uelewa mpana sana juzi tuu waziri wetu Muhongo alikuja na habari ya kununua umeme toka Ethiopia wengi hatukumuelewa leo tena anakuja na kuuza hisa za Tanesco nashindwa kuelewa mawazo na mipango hiyo anaibuni yeye binafsi au kuna wengine nyuma ya pazia
  6. Miraji Y Saleh

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Ajabu ya mambo ya siasa yalivyo jana alikuwa mpinzani leo hii a napongezwa kwa kubakia bungeni huyo ndio Zito wa ACT wazalendo
  7. Miraji Y Saleh

    UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Matatizo ya katiba ni matatizo ya kisheria zaidi kuliko mitazamo ya wananchi wengi wanavyolitazama hivyo tuwaachie hao walifanyiekazi
Back
Top Bottom