OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,053
- 114,519
Urafiki wa Mashaka baina ya Jaji Warioba na Chama chake cha CCM uliofufuka kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaweza kuingia dosari baada ya Jaji huyo mstaafu kusema iwapo serikali itaanza mchakato wa kumalizia katiba atatoa yake ya moyoni. Mwananchi linaripoti.
Baada ya waziri wa sheria Dr.Mwakyembe kueleza kuwa John Magufuli amemuagiza aendelee na mchakato wa katiba pale ulipoishia, Jaji Warioba amehifadhi yake ya Moyoni lakini atayatoa.
YANGU YA MOYONI:-
Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katiba hawana tena credibility ya kutusemea.Kuna H.Polepole, Butiku na Warioba mwenyewe, wapige kimya tu.