Lakini si kuna utaratibu wa kuangalia iwapo gari inadaiwa au haidaiwi? Dereva anapopokea gari ni wajibu wake kujiridhisha kama gari lina deni au halina. Mmiliki anawaandalia tu kitabu cha makabidhiano.
Hahaha kweli sio watu wengi wanaifahamu fasihi. Ili uelewe unapaswa kuwa na uelewa kuhusiana na hadithi zinazojulikana kama Istiara. Tofauti na hapo utakuwa kama wakoloni walioichapisha riwaya za Kusadikika au Kufikirika bila kujua kuwa hayo yasemwamyo humo ni kuhusu wao wenyewe. Wakampa hadi...
Mkuu hongera sana. Umekuwa muwazi na mkweli. Kuna muda nilikuwa naipenda sana Clouds 360. Lakini kutokana na uendeshaji wa kipindi chao uliojaa mapendeleo huku wakiwakashifu watu wote walio na mtazamo tofauti na chama tawala nimelazimika kuacha kabisa kuwasikiliza. Kwa mtu mwenye akili timamu...
Salaam!
Kama mada tajwa inavyojieleza, ninahitaji mojawapo ya gari tajwa hapo. Bajeti yangu ni milioni 6- 7.5.
Ninatanguliza shukrani.
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Acha uongo na uzushi ndugu yangu! Siasa isitufanye kuwa vipofu! Kutoka mkoa wa Kigoma ni Muhonga Said Ruhwanya, Sabrina Sungura, na Philipa Mturano ( mhonga kaenda ACT na Philipa karudi ccm na kagombea viti maalumu mkoa wa Kigoma akawa wa pili). Mkoa wa Kagera ni COnjesta Rwamulaza.
Uongo ni...
Hebu mweleweni mtoa mada wanamabadiliko wote! Alichoandika kinawasuta maccm na mwenyekiti wao kwa uzushi na uongo! Yeye kajionea Dodoma mafuriko ya dhati hivyo wananchi wa Dodoma wamethibitisha uongo wa ccm na vijibwa vyao!
Poleni wanasengerema! Hivi huyu si ndio amewahi kuwa Diwani wa Katunguru kuanzia miaka ya 2000 na kisha akawa mwenyekiti wa halmashauri ya Sengerema? Poleni sana wafiwa namfahamu huyo mwalimu Lubongeja ila sikuwa na taarifa kuwa alikuwa diwani wa Mwabaluhi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.