Vigezo vya 5 bora CCM, na watakaokidhi kwenye mabano
1.KUKUBALIKA- Edo/ Membe
2.Uwiano Bara/ Visiwani- Bilal
3. JINSIA- Migiro
4. UCHAPAKAZI- Magufuli/ Edo
5. Mawaziri- Nchemba/ Wassira/ Magufuli/ Pinda
Kwa vigezo hivyowatu watatu watakuwa tano bora; Edo, Migiro na Bilal nafasi ya nne na...
Mnachopinga nini? Lowassa kuongoza? Sasa mlitaka aongoze nani? Mbona hamjakana Dk. Slaa alivyooongoza kwa upinzani?
The reality is, all of you that shout here are nobody. Those in power knows the reality! And the system is worried by the challenge Lowassa might bring when he becomes the...
Tumechoka na upumbavu wa wazushi na imbecile people. Huyo anayetaka matokeo tofauti anajichukulia yeye kama watanzania wote? Je Lowassa kawaagiza hata waandishi wahoji raia wanaompenda yeye? Leo ktk taarifa ya habari tumeona watu waliohojiwa wamemtaka Lowassa, nao waliandaliwa?
Ni ujinga kutangaza ufisadi wa mtu wakati huna maelezo yasiyo na mashaka juu ya tuhuma zake. Wanadamu wana kawaida ya kumhurumia mtu anayetuhumiwa katika makosa yasiyoeleweka. Lowasa atashinda urais kutokana na huruma za wananchi na ninyi waropokajimtabakia kumwita fisadi huku akiudhibitishia...
Ni kweli kuwa Makongoro hajapewa nafasi sana kwenye ofisi za Tanzania. Kwa maelezo yake mwenyewe alisema ''mke wangu aliniambia nisihame CCM nikamwambia wewe ni hakimu una ajira, CCM hawanitaki ngoja nikatafute kazi'' Makongoro anatafuta kazi ambayo haihitaji qualification ila wazimu wa wapiga kura.
Si kila kitu kinafananishwa na jambo lingine na kusadifu taswira halisi!
Mbona hamshangai kitu cha kipekee kupata Uhuru kwa Tanganyika pasipo kumwaga damu tofauti na kwingineko Afrika?
Kama upekee huo ulitokea, basi tutaiweka CHADEMA na kufanikiwa!
Nakweli, jamaa amekua frustrated na umaskin, yeye anapigana na matajiri ila si viongoz waliokosa utashi wa kuwaondoa wananchi ktk magumu yao. Mama huruma huyu!
Tutakuwa pamoja na mtu anayethamini juhudi zetu za kusaka mabadiliko kupitia CHADEMA moja!
Hatutampa nafasi kinyamkera anayekipaka chama matope ili aonekane yeye ni muhimu kuliko wengine wote!
Abezaye harakati za CHADEMA ana mizizi ndani ya CCM
Ni wazi kuwa chuki zetu dhidi ya watu wa dini nyingine zimekuwa msukumo wa kuwalaumu watu wasiokuwa na imani sawa na zetu kuwa ni wadini!
Chadema kivp ni wadini? Lini wameweka kigezo cha dini ili uwe mwanachama? Ubaguzi wetu kwa wakristo ndio tatizo
Tatizo ni wanahabari. Kama utakumbuka Kikwete alisifiwa mno muda mfupi kabla hajawa Rais kiasi cha kudhani angefanya makubwa kuliko hata Mkapa!
Hata uwanja wa mpira uliojengwa na Mkapa ukafanywa kuwa wa Kikwete.
Nadhani maslahi yakaadimika ghafla, le
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.