Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
- Thread starter
- #21
Usipate shida kamanda, mawazo yako ni sawa na ya tulio wengi, Mbowe anastahili kuendelea kuongoza jahazi kwa sasa chini ya Dr Slaa, hakuna mwanachadema anayempinga Mbowe kwa jinsi anavyochapa kazi ya kukijenga chama, wanaopinga ni propanganda kutoka ccm, wameona nimwiba kwao, wasivyo na akili eti, waliwekeza kwa kitoto kidogo kama Zitto kiue Chadema, ndio maana tumekipiga chini, mbowe atapumnzika uongozi lakini sio sasa, bado anahitajika, uenyekiti hatupeani kama bagia, tunapima uwezo wa mtu.
mwanamakambako nimekusoma Vizuri sana Kamanda, Habari za Makambako!
Last edited by a moderator: